KWANDIKWA: ATEMA CHECHE KWA MKANDARASI KUONGEZA MITAMBO NA WAFANYAKAZI
Naibu Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (Mb),
akizungumza na uongozi wa wilaya ya Kakonko, alipokuwa katika ziara ya kikazi
ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Nyakanazi-Kibondo KM 50 inayojengwa kwa
kiwango cha lami, mkoani Kigoma.
Naibu Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (Mb),
akikagua kalvati katika barabara ya
Nyakanazi-Kibondo KM 50 inayojengwa kwa kiwango cha lami, mkoani Kigoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
(Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (aliyevaa suti) akikagua matofali
katika kambi ya mkandarasi ya Nyanza Road Works alipokuwa katika ziara ya
kikazi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Nyakanazi-Kibondo KM 50 inayojengwa
kwa kiwango cha lami. Kushoto ni Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa
wa Kigoma Eng. Narcis Choma
Meneja wa mradi
kutoka Kampuni ya Nyanza Road Works Massimo Cartura, akitoa maelezo kwa Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias
Kwandikwa (Mb), ya mradi wa ujenzi wa barabara ya Nyakanazi-Kibondo KM 50 inaojengwa
kwa kiwango cha lami. Kulia ni Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa
Kigoma Eng. Narcis Choma.
Meneja wa mradi
kutoka Kampuni ya Nyanza Road Works Massimo Cartura (kulia), akimuonesha Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias
Kwandikwa (Mb), aina ya kokoto zinazotumika katika ujenzi wa barabara ya
Nyakanazi-Kibondo KM 50 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Kushoto ni Meneja wa
Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma.
Naibu Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (Mb),
akisisitiza jambo kwa Meneja wa mradi kutoka Kampuni ya Nyanza Road Works
Massimo Cartura (kushoto), wakati akikagua ujenzi wa barabara ya
Nyakanazi-Kibondo KM 50 kwa kiwango cha lami, mkoani Kigoma.
Mhandisi Mshauri wa mradi wa ujenzi wa barabara
ya Nyakanazi-Kibondo KM 50 inayojengwa kwa kiwango cha lami Dunaka Screenivasa Rao akifafanua jambo kwa Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias
Kwandikwa (Mb), wakati akikagua maendeleo ya ujenzi huo mkoani Kigoma.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano