RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA MISENYI NA KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA SUGAR, MISENYI MKOANI KAGERA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati
akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika wakati wananchi wa Misenyi walipokuwa wakiwasilisha Kero zao mara baada ya kusimama wakati akiwa njiani kuelekea katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo wialayani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa kwa shangwe na Mamia ya wananchi wa Misenyi mara baada ya kuwasili Wialayani hapo akitokea Bukoba mjini.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) wakati akiwasalimia wananchi wa Misenyi na wakiwasilisha Kero zao kwa Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni pamoja na swala la Bei ya Sukari kuwa juu wakati wananchi hao wapo jirani na kiwanda za uzalishaji,Mh. Rais Magufuli ameakikisha anatatua swala hilo papo hapo
Mamia ya wananchi wa Misenyi mara wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Mitambo ya kuchujia na kuvutia maji kwa ajili ya Mashamba ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar, mitambo hiyo ipo pembezoni mwa Mto Kagera katika Wilaya ya Misenyi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja katika Mashamba hayo ya miwa na viongozi wa Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wa kwanza kulia akifatiwa na Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda Charles Mwijage wa kwanza kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi (Vibarua) wanaofanyakazi katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar wakati akielekea kiwandani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani Misenyi mkoani Kagera.
Burudani za hapa na pale zikiendelea mapema kabla ya Mh. Rais Magufuli kuwasili eneo la Kibaoni na kuwahutubia mamia ya wananchi wa Misenyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Misenyi
wakati wakitoa kero zao mbalimbali mara baada ya kuwasili.

Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akizungumza katika eneo
hilo la Misenyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa
Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wa pili kutoka kushoto , Waziri wa
Kilimo Dkt. Charles Tizeba wa kwanza (kulia) wakisikiliza mtaalamu wa Kilimo
(haonekani pichani) aliyekuwa akielezea mambo mbalimbali katika mashamba ya
miwa katika Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani
Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Shamba la miwa la
Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani Kagera
Baadhi ya wadau wa kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar wakiwa tayari kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Mitambo ya kuchujia na kuvutia maji kwa ajili ya Mashamba ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar, mitambo hiyo ipo pembezoni mwa Mto Kagera katika Wilaya ya Misenyi.