HAFLA YA LUGOYE DAY ILIYOFANYIKA TAR. 27/12/ 2017 YAFANA KIJIJINI ISHOZI
Baadhi ya wanachama wa Lugoye Social Club walioweza kushiriki shughuli ya kumaliza mwaka 2017 iliyofanyika kijijini Ishozi nyumbani kwa Mzee Justus Rweyemamu wakiwa katika picha ya pamoja na wanawake wa 'Lugoye Women'
Baadhi ya Wanachama wa 'Lugoye Social Club' katika picha ya pamoja
Nao 'Lugoye Women Group' umoja wa Wanawake waliolewa na wana Lugoye wametoa msaada wa Computer na Printer katika shule ya Msingi Ishozi,msaada uliotokana na maombi ya kamati ya uongozi wa shule hiyo ili kuwezesha walimu kuchapisha ripoti za shule na kutunga mitihani ya wanafunzi wao.
#bukobawadauthisdesember
Sherehe hizo zilitanguliwa na Ibada iliyofanyika nyumbani kwa mwenyeji Mzee Justus Rweyemamu
Mzee Basibila.
Mzee Cathbert Basibila pichani kushoto akiendelea kushiriki ibada hiyo
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiendelea
Waumini wakitoa sadaka wakati Ibada inaendelea
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha yakifuatiwa na Sehemu ya Video
Mgeni Rasmi katika sherehe hiyo Mh. William Rutta Diwani wa Kata Ishozi akikabidhiwa Computer
kutoka kwa mwakilishi wa 'Lugoye Women Group'
Diwani wa Kata Ishozi William Rutta akitoa neno la shukrani mara baada ya kupokea msaada wa Kompyuta na Printer kutoka kwa wanachama wa Lugoye Women Group
Mzee Matambula na Prof Kahamba wakifurahia jambo
Ni muda sasa wa kupata muklo sahihi ulioandaliwa kwa watu wote
Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya chakula
Muendelezo wa matukio ya picha
Mwenyeji wa Sherehe za mwaka huu Mzee Justus Rweyemamu akitoa utambulisho wa wanachama wenzake wa 'Logoye Social Club'
Mr. Ben Mulokozi wakati wa Utambulisho
Mwenyekiti wa Lugoye Social Club
Prof. Kahamba wakati wa utambulisho
Adv Buberwa akifanya utambulisho waker na kwa familia yake pia
Mh. Msafiri Diwani Kata ya Ishunju
Wenyeviti wa vijiji vyote wakiendelea kujitambulisha.
Watendaji na Viongozi wa vijiji wa kanza mbalimbali wakitoa utambulisho wao.
Mwenyekiti wa KIDESO Adv. Kamala mwenye kipaza sauti akitoa salaam kwa wageni na kutambulisha viongozi alioambana nao
Wadau wa KIDESO wakifatilia kinachojiri
Mama Rweyemamu mke wa Mr. Justus Rweyemamu wakati wa utambulisho.
Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzima wa matukio na maelezo ya picha.
Muendelezo wa matukio ya picha
WanaLugoye wakiendelea kufurahia hafla yao na kubadilishana mawazo na waalikwa waliohudhuria Shukrani za pekee ziwafikie wanaLugoye woto popote mlipo kwa kuendeleza umoja wenu kwa miaka kadhaa bili kuteteleka.
Mlangira Focas Lutinwa.

#Bukobawadau
Maadhimisho ya Sherehe za Mwaka 'Lugoye Day' yaliofanyika Des 27,2017 Kijijini Nyarugongo- Ishozi
Wanachama wapatao 19 wa Umoja ujulikanao kama Lugoye Social Club wanaozaliwa katika vijiji vya Ishozi ,Gera na Inshunju na makazi yao yakiwa Jijini Dar es Salaam wameendelea kusherekea sherehe zao za kila mwaka ambalo limekuwa likiambatana na na matendo ya huruma kwa kusaidia jamii inayo wazunguka hususani katika Vijiji Vyao.
Katika sherehe za mwaka huu Upande wa Wanaume wanachama wa Lugoye wametoa msaada wa photocopy machine yenye thamani ya shilingi milioni tatu na nusu za Kitanzania (3,500,000/-) katika shule ya Sekondari ya Kata Ishozi.