IBADA MAALUMU KUANUA MATANGA YA LILIAN GEOFREY NJUNWAS KIJIJINI KANYIGO DES28,2017
Familia ya marehemu Herman Kiiza Njunwas wa Kanyigo imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalumu kuanua matanga kifo cha Bi Lilian Geofrey Njunwa aliyekuwa mke wa kaka yao Bwana Geofrey Njunwas pichani ykushoto ,Shughuli iliyofanyika Des.28,2017.
Mwenyezi Mungu mwingi rehema awatangulie katika kumuombea mpendwa wetu Liliani aliyetangulia mbele ya haki Tar 4.10.2017 na yeye mwenyewe aliyemuita ampe pumziko la milele,Amina!!!
Wachungaji wakiendelea kuongoza Ibada maalumu ya kuanua matanga ya Bi Lilian Geofrey Njunwas
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
Ibada ikiwa inaendelea kijijini hapo .
Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mpendwa wetu,wifi yenu Lilian.
Muonekano wa Kaburi la mpendwa Bi Cornelia Kiiza Njunwas
Marafiki wa familia wakiwasili kijijini Bukombe kwa ajili ya kushiriki Shughuli hiyo
Mchungaji akiendelea kuongoza sehemu ya Ibada
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada hiyo
Waumini wakiendelea kushiriki Shughuli ya kuanua matanga ya Bi Lilian Geofrey .
Bwana Geofrey Njunwas mme wa Marehemu Lilian Geofrey Njunwas,tunamuomba Mungu azidi kukupa nguvu kaka yetu.
Wajukuu wa marehemu Bi Cornelia Njunwas wakiendelea kushiriki Ibada .
Wanakwaya wakiimba nyimbo za kuabudu
Utaratibu wa kutoa sadaka ya shukrani
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiwa unaendelea
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiwa unaendelea
Wanafamilia wakiwa mbele yaMchungaji kwa ajili ya kuzipokea baraka
Wanafamilia wakiwa mbele yaMchungaji kwa ajili ya kuzipokea baraka
Dr.Iganga ambaye ndiye mlezi wa familia hii akitoa utambulisho kwa wanafamilia
Kinachoendelea ni utambulisho kwa wanafamilia wote
Kinachoendelea ni utambulisho kwa wanafamilia wote
Utambulisho kwa wanafamilia ukiendelea
Mama Nice pichani rafiki wa familia
Sehemu ya wajukuu wa Marehemu Bi Cornelia Njunwas
Taswira mbalimbali shughuli ikiwa inaendelea
Pole sana Dada Jovitha kwa msiba huo mkubwa wa Wifi yako Bi Lilian Geofrey Njunwas
Wanafamilia wakiendelea kuchangia Ujenzi wa Kanisa unaoendelea kijijini hapo
Msemaji wa familia akitolea jambo ufafanuzi mara baada ya shughuli ya Ibada
Wageni kutoka Nshamba-Muleba wameweza kuungana na familia katika shughuli hii iliyofanyika alhamisi Dec 28,2017 Kijijini Kanyigo
Utambulisho ukiwa unaendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Bi Achi Hamis rafiki wa familia ya marehemu mzee Herman Kiiza Njunwas
Mama Nice ambaye ni rafiki wa familia wakati wa utambulisho
Bi Jovitha Njunwas akitoa neno la shukrani kwa wageni wote kutoka maeneo mbalimbali walioweza kushiriki nao katika Ibada maalumu ya kuwalemu wazazi wao na kumaliza matanga ya Wifi yao Bi Lilian Geofrey Njunwas,shughuli iliyofanyika Kijijini Kanyiko siku ya alhamisi Dec28,2017.
Wanafamilia wakipata picha kwenye kaburi za wazazi wao wapendwa ,tunamuomwa Mola aliyewaita awape pumziko la milele, Amina...
Bi Jovitha kiwa katika picha ya pamoja nashost wake Mama Nice 'Mka Deo'
Bro Geofrey Njunwas akisalimiana na jirani yao kijijini hapo
Tukio la kupata huduma ya Chakula
Ni wakati wa wageni wote kupata hudma ya chakula kilichoandaliwa
Waalikwa wakipata huduma ya Msosi
Baadhi ya waalikwa wakati wakiondoka mara baada ya shughuli kukamilikaWaalikwa wakiendelea kupata Vinjwaji vya kila aina katika kuhitimisha shughuli hiyo iliyofanyika juzi alhamisi Dec28,2017 Kijijini Kanyigo
Waalikwa wakiendelea kupata Vinjwaji vya kila aina katika kuhitimisha shughuli hiyo iliyofanyika juzi alhamisi Dec28,2017 Kijijini Kanyigo
Wapumzike kwa Aani wapendwa wetu
Familia ya marehemu Herman Kiiza Njunwas wa Kanyigo imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalumu kuanua matanga kifo cha Bi Lilian Geofrey Njunwa aliyekuwa mke wa kaka yao Bwana Geofrey Njunwas wa pili pichani kutoka kulia Njunwa.Shughuli iliyofanyika Des.28,2017
Mwenyezi Mungu mwingi rehema awatangulie katika kumuombea mpendwa wetu Liliani aliyetangulia mbele ya haki Tar 4.10.2017 na yeye mwenyewe aliyemuita ampe pumziko la milele,Amina!!!
Muendelezo wa picha kwa ajili ya kumbukumbu
Wanafanilia wakiwa katika picha ya pamoja kwenye kaburi za wapendwa wao
Matukio ya picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu