UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA BI ANASTAZIA GEREVAS RWECHUNGURA WA GERA -JAN 5,2018
Jeneza lenye mwili wa mpendwa Bi Anastazia Rwechungura likiingizwa kwenye makazi yake ya milele.
Familia ya Marehemu mzee Gerevas Rwechungura na Bi Anastazia wakishiriki Ibada maalumu ya kumuaga mpendwa wao Ibada iliyofanyika katika Katisa Katoliki Kigango cha Gera na kuongozwa na maaskofu Method Kilaini na Askofu Armachus Rweyongeza wa jimbo la Kayanga.
Katika picha mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Askofu Method Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba pamoja Askofu Armachus Rweyongeza wa jimbo la Kayanga waliweza kujitokeza kwa wingi kushiriki mazishi ya aliyekuwa mwanaharakati mpenda maendeleo, mwalimu na mhamasishaji katika jamii Bi Anastazia Rwechungura yaliyofanyika Ijumaa Jan 5,2018 Nyumbani kwake Kijijini Gera -Kiziba
Gari maalumu lililobeba Mwili wa Mpendwa Bi Anastazi Gervas Rwechungula likiwasili nje ya Kanisa Katoliki Kigango cha Gera .
Shughuli ya Ibada ya Mazishi ikiwa inaendelea ndani ya kanisa Katoliki Kigango cha Gera
Waumini wa kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada maalumu kwa ajili ya mazishi ya mpendwa wetu Bi Anastazia Gervas Rwechungra
Pata mtiririko mzima wa matukio ya picha, kupata sehemu ya video follow Instagram@mcbaraka au @bukobawadau au tembelea account yetu ya Youtube.
Wanakwaya wakiendelea kuwajibika kwa kuimba nyimbo za mapambio
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Bi Anastazia Rwechungura
Kanisani Ibada maalumu ikiwa inaendelea
Neno la Bwana.
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiendelea.
Ni wakati wa kutoa sadaka kwa watu wote kanisani
Bi Anastazia Rwechungura pichani enzi za Uhai wake.
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kumuaga mpendwa wetu Bi anastazia Gervas Rwechungura
Wasifu wa Bi Anastazia Gervas Rwechungura ukisomwa na mwanae mkubwa Bi Conso (Dkt. Mery Banda)
Dada Conso akiendelea kutoa wasifu wa Mpendwa mama yake Bi Anastazia Rwenzungura
Diwani Bitegeko wa Kata Gera akitoa salaam za rambirambi
Kwa niaba ya UWT msemaji Mama Batenga akitoa salaam za rambirambi.
Mzee Masasi akitoa salaam za rambirambi
Utaratibu wa kutoa salaam za rambirarambi kwa kuzingatia makundi mbalimbali ukiwa unaendelea
Baba Askofu Kilaini akinyunyuzia maji ya uzima kwenye Jeneza lenye mwili wa Bi Anastazia Gervas Rwechungura
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Bwana Shumbu ambaye ni rafiki wa familia akipata picha ya pamoja na wafiwa.
Bwana Optaty Henry na Bi Hajjat wakicheck na Camera yetu mara baada ya shughuli ya Ibada kukamilika
Nje ya kanisa wanaonekana wadau wakibadilishana mawazo
Mara baada ya Ibada msafara unaelekea nyumbani kwa ajili ya shughuli ya mazishi
Msafara ukielekea nyumbani kwa ajiri ya mazishi
Taswira eneo la tukio nyumbani kwa familia ya Marehemu mzee Gervas Rwechungura
Umati wa waombolezaji wakiendelea kufatilia kinachojiri kulingana na ratiba
Dkt. Mety Banda (dada Conso) akisalimiani na Baba Askofu Kilaini
Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Askofu Method Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba pamoja Askofu Armachus Rweyongeza wa jimbo la Kayanga wameshiriki mazishi ya aliyekuwa mwanaharakati mpenda maendeleo, mwalimu na mhamasishaji katika jamii Bi Anastazia Rwechungura yaliyofanyika Ijumaa Jan 5,2018 Nyumbani kwake Kijijini Gera -Kiziba
Mwakilishi wa BUDEFU akitoa salaam za rambirambi.
Mama Batenga akitoa salaam za UWT Mkoa Kagera.
Wawakilishi wa UWT wakati wakikabidhi rambirambi zao
Bi Geniviva Rugumuma rafiki wa familia akiwa ameunga na waombolezaji wengine katika shughuli ya mazishi ya Bi Anastazia Gervas Rwechungura
Taswira umati wa waombelezaji walioweza kuhudhuri shughuli ya mazishi hayo kutoka maeneo mbalimbali
Kuelekea eneo la kaburi
Jeneza likiwa tayari kuingizwa kwenye kaburi
Askofu Armachus Rweyongeza na Askofu Kilaini wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mpendwa Bi Anastazia Gervas Rwechungura
Mr Paul Rwechungura na mke wake wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao mpendwa Bi Anastazia Gervas Rwechungura
Bwana Peter 'Tosh' Rwechungura akiongozana na mke wake kuweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake mpendwa Bi Anastazia Gervas Rwechungura.
Familia ya Kabyemela wakiongozwa na Dada Goreth wakiwa tayari kuweka mashada ya maua
Baadhi ya wajukuu wakiwa tayari kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Bibi yao mpendwa.
Bi Jeniveva akiweka shada la maua
Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho ya mpendwa wetu Bi Anastazia Gervas Rwechungura aliyezaliwa Tarehe 3.8.1935 katika kijiji cha Nkindo katoma Bukoba Vijijini
Dokta Merry Banda akiwa na binti yake pichani kushoto wakiwa na huzuni mkubwa mara baada ya shughuli ya kumsitiri Mpendwa mama yake kukamilika
Kwa matukio zaidi ya picha za msiba huu na habari mbalimbali za Ulimweguni kote jiunge na Ukurasa wetu wa facebook @bukobawadaumedia.
Mara baada ya maziko kilichofuata ni watu wote kupata riziki iliyoandaliwa...
Baba Askofu Kilaini akimfariji ndgu Paul Rwechungura.
Baba Askofu Bagonza akisalimiana na Uncle Paul Rwechungura
Katika picha ya kumbukumbu na Mzee Ramadhan King.
Wajukuu wa Bi Anastazia Rwechngura
Wadau wakifurahia jambo mara baada ya kukutana msibani hapo
Mzee Kelvin na Mr Deo Lugaibura wakati wakiwasili msibani hapo
MWISHO #BUKOBAWADAUMEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045/0754 505043

bukobawadau tunatoa pole sana kwa wanafamilia kwa msiba huu mzito,tupo pamoja katika sala na Mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu katika kipindi kigumu cha majonzi. ... Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mama yetu mpendwa mahali pema peponi.Amen!!