UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA RUGAIBULA KIJIJINI KANYIGO
Umati mkubwa wa waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Tanzania na nchi jirani za Uganda na Kenya wameweza kushiriki Mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula aliyekuwa diwani wa Kata Kashenye Wilaya Missenyi yaliofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bukwale-Kanyigo Bukoba
Ma Grace Mama mzazi wa Justice Rugaibula akiteta jambo na mwanae mapema kabla ya shughuli ya mazishi
Jeneza lenye mwili wa Mlangira likiwa ukumbuni tayari kwa ajili ya Ibada ya Mazishi yake
Sehemu ya wanafamilia pichani Ndugu Divo Rugaibula akiwa na mwanae na kulia kwake ni Mlangira Dr.Mboneko.
Pichani ni Ndugu Justice Rugaibula na familia yake wakiwa na majonzi makubwa.
Umati mkubwa wa Ombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mlangira Rugaibula
Ibada maalum na Shughuli ya mazishi ya Mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula akiongoza na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius '
Kati ya watu mashuhuri waliohuhuria mazishi ya Mlangira Rugaibula ni pamoja na Erick Mtalemwa.
Wadau waombolezaji na marafiki wa familia wakiwa tayari kushiriki shughuli ya mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula.
Wanakwaya wakiendelea kuimba nyimbo za kuabudu katika shughuli ya #MazishiyaMlangiraRugaibula
Pichani yupo Bi Sarah,Mlangira Ben Kataruga na Mwanapamo Ndugu Mwinyi
Taswira mbalimbali Ibada ya Mazishi ikiendelea
Uncle Salum Mawingo na Bwana Yakubu ni miongoni mwa waombolezaji
Muungwana Jamal Kalumuna pichani kushoto akiwa sambamba na waombolezaji wengine ktk shughuli ya #MazishiyaMlangiraRugaibula
Hakika watu ni wengi kweli kweli
Kaka Deo Rugaibula akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba yake mpendwa Mlangira Rugaibula.
Justuce Rugaibula na familia yake wakitoa heshima zao za mwisho kwa Baba yao mpendwa Mlangira Adeodatus Rugaibula.
Poleni sana wafiwa pole sana Adelius kwa msiba huu mkubwa..
Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mpendwa mzee wetu
Matukio ya awali wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
Baadhi ya waombolezaji walioweza kushiriki Ibaa ya mazishi ya Mlangira Rugaibula
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho (rast respect) ukiendelea kwa wanafamilia wote, watoto wa marehemu Mlangira Rugaibula na pamoja na waombolezaji
Ndugu Dona Rugaibula akiongoza na Optaty Henry
Mama Ma Grace wakati akitoa heshima zake za mwisho kwa Mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula
Mlangira Ben Kataruga akitoa heshima zake za mwisho
Mlangira Focas Lutinwa akitoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula
Haji Mugunda akitoa heshima zake za mwisho
Deldeus Rugaiba pole sana mzee kwa kumpoteza Baba yako mzazi
Ni Simanzi kubwa kwa wanafamilia kama wanavyo onekana machozi na vilio vikiwatoka
Watoto wa Marehemu Mlangira Rugaibula wakitokwa na Machozi ya huzuni wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
#MazishiyaMlangiraRugaibula utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendea
Sehemu kubwa ya waombolezaji wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV kubwa zilizofungwa kila sehemu kwa ubora na zenye teknolojia #MazishiyaMlangiraRugaibula.
Idadi kubwa ya Mapadre pamoja na Wachungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakitoa heshima zao za mwisho #MazishiyaMlangiraRugaibula
Mapadre wakiongoza na Baba Askofu Kilaini wakitoa heshima zao za mwisho
Bwana Kharim Amri ni miongoni mwa waombolezaji
Mh.Tegamaisho na Mh. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge wakitoa heshima zao za mwisho kumuaga mpendwa wao
Mama Mhazi na Mama Mlima pichani wakati wa kutoa heshima za mwisho
Diwani Kamala Kalumuna na Bi Chui Salome wakati wa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa Mpendwa Mlangira Rugaibula
Pichani anaonekana Ndugu Libe,Ndugu Mzamir Katunzi na Ndugu Erick #MazishiyaMlangiraRugaibula
Waombolezaji wakiwafariji wafiwa #MazishiyaMlangiraRugaibula

Mtoto Grace Justice Rugaibula akiongoza na mama yake mdogo kutoa heshima za mwisho kwa Mlangira Rugaibula
Bwana Habibu akicheck na Camera yetu
Poleni sana wafiwa kwa kumpoteza mpendwa wenu
Bwana Divo Rugaibula akiteta jambo na Kaka yao mkubwa Deo Rugaibula
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenyi Ndugu Tegamaisho akiteta jambo na Diwani Mwenzie
Bwana Divo Rugaibula akipokea rambirambi kutoka kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Missenyi.
Bwana Optaty Henry akitoa salaam za rambirarambi kwa niaba ya chama cha Wanapamoja
Sehemu ya wanapamoja wakiwa wamesimama
Taswira mbali wakati Shughuli ya Ibada ya mazishi ikiwa inaendelea
Mama Benna pichani kushoto akifatiwa na Mwanae Mrs Deo Rugaibula (Mama Nice)
Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
Rambirambi kutoka kwa Mahakimu wa Wilaya ya Bukoba zikikabidhiwa kwa Mtumishi mwenzao ambaye ni mmoja kati ya Watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mlangira Adeodatus Rugaibula

Mwenyekiti wa CCM Wilaya Missenyi pamoja na Mnec Mkoa Kagera Ndugu Willy Mtabuzi wakitoa salaam za rambirambi
Mnec Mkoa Kagera Ndugu Willy Mtabuzi akitoa mkono wa kuwafariji wafiwa
Sehemu ya wanaukoo wa Walangila wakifatilia mtiriko mzima wa matukio yanayojiri #MazishiyaMlangiraRugaibula
Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
Neno la Shukrani kwa Ujumla kutoka kwa msemaji wa familia ya marehemu Mlangira Rugaiba
Salaam za rambirambi kutoka kwa Mh. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge
Salaam za rambirambi kutoka kwa Viongozi wa CCM wa Kijiji cha Bukwale Kata ya Kashenye
Mh.Projetus Tegamaishp akitoa Salaam za rambirambi kwa niaba ya Madiwani wa Halmashauri ya Missenyi
Wanaonekana Madiwani ya Halmashauri ya Wilaya Missenyi wakati wakitambulishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mh.Projetus Tegamaisho ikiwa wameondokewa na aliyekuwa Diwani wa Kata Kashenyi mzee wetu Mlangira Mlangira Adeodatus
Pamoja na mambo mengine salaam za mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenyi Mh.Projetus Tegamaisho zinachombeza kidogo utayari wa kuwania nafsi ya Udiwa wa Kata hiyo kwa mmoja wa watoto wa Marehemu Mlangira Adeodatus Rugaibula ,Ndugu Divo Rugaibula pichani aliyesima
Rambirambi kutoka kwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini akiongoza utaratibu wa kuweka shada la maua
Ndugu Patrick Ishengoma na Adv. Protas Ishema wakiweka shada la maua
Baadhi ya watoto wa Mlangira Rugaibula wakiweka shada la maua
Mr $Mrs Dona Rugaibula wakiweka shada la maua
Mr $Mrs Justuce Rugaibula na Mama yao Mzazi Ma Grace wakiweka Shada la maua
Eneo la Kaburi utaratibu wa kuweka mashada ya Maua ukiwa unaendea
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua mashada ya maua
Wanafamilia wakitoka eneo la kaburi mara baada ya shughuli ya mazishi kukamilika
Muendelezo wa matukio ya picha. mara baaa ya shughuli ya mazishi
Mtu na Shemeji yake Bi Jojo (Kisha) na Dona Rugaibula
Wasifu wa Marehemu ukisomwa
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare mara baada ya shughuli ya Mazishi
Bwana Rutta Rwabigene na Ndugu Joha Rugenge
Dona Rugaibula na Mdogo wake Ruganzi Rugaibula pichani
Bwana Dona Rugaibula mara baada ya kupokea mkono wa rambirambi kutoka kwa marafiki zake, pichani yupo Bwana Abdul (Koma)Galiatano
Muonekano wa Kaburi la Mlangira Adeodatus Rugaibula
Bwana Justuce Rugaibula akipokea mkono wa pole kutoka kwa mmoja wa waombolezaji wa Msiba wa mzee wake mpendwa Mlangira Rugaibula
Sehemu ya wadau mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mlangira Rugaibula
Bwana Elnest Mushobozi, Ndugu Rutta na Mr Edwin wakibadilishana mawazo

Hivi nivyo ilivyokua Safari ya Mwisho ya Maisha ya Mlangira Adeodatus Rugaibula
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima Mwenyezi Mungu hampe pumziko la milele mzee wetu
Ndugu John Katarai na Bwana Edwin katika hili na lile
Mdau Bashiru Kabyemela ,Ndugu Rutta na Kijana Rama mara baada ya Shuguli ya #MazishiyaMlangiraRugaibula
Mwisho wa matukio yaliojiri #MazishiyaMlangiraRugaibula
Daima tunamuombea Mlangira Baba yetu Mpendwa Adeodatus Rugaibula apumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele Amina.