UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA RUGAIBULA KIJIJINI KANYIGO
Umati mkubwa wa waombolezaji wameweza kushiriki Mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula yaliofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bukwale-Kanyigo Bukoba.
Ndugu Justice Rugaibula na mama yake Mzazi Ma Grace wakita jambo muda mchache kabla ya kuanza kwa shughuli ya Mazishi ya mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula
Jeneza lenye mwili wa Mlangira likiwa ukumbuni tayari kwa ajili ya Ibada ya Mazishi yake
Sehemu ya wanafamilia pichani Ndugu Divo Rugaibula akiwa na mwanae na kulia kwake ni Mlangira Dr.Mboneko.
Pichani ni Ndugu Justice Rugaibula na familia yake wakiwa na majonzi makubwa.
Umati mkubwa wa Ombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mlangira Rugaibula
Kati ya watu mashuhuli waliohuhuria mazishi ya Mlangira Rugaibula ni pamoja na Erick Rugereka na Mzamir Katunzi
Pichani yupo Bi Sarah,Mlangira Ben Kataruga na Mwanapamo Ndugu Mwinyi
Taswira mbalimbali Ibada ya Mazishi ikiendelea
Hakika watu ni wengi kweli kweli
Kaka Deo Rugaibula akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba yake mpendwa Mlangira Rugaibula.
Justuce Rugaibula na familia yake wakitoa heshima zao za mwisho kwa Baba yao mpendwa Mlangira Adeodatus Rugaibula.
Poleni sana wafiwa pole sana Adelius kwa msiba huu mkubwa..
Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mpendwa mzee wetu
Matukio ya awali wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
Bwana Habibu akicheck na Camera yetu
Poleni sana wafiwa kwa kumpoteza mpendwa wenu
Bwana Divo Rugaibula akiteta jambo na Kaka yao mkubwa Deo Rugaibula
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenyi Ndugu Tegamaisho akiteta jambo na Diwani Mwenzie
Bwana Optaty Henry akitoa salaam za rambirarambi kwa niaba ya chama cha Wanapamoja
Sehemu ya wanapamoja wakiwa wamesimama
Utaratibu wa mashada ya maua
Wanafamilia wakitoka eneo la kaburi mara baada ya shughuli ya mazishi kukamilika
Muendelezo wa matukio ya picha. mara baaa ya shughuli ya mazishi
Mtu na Shemeji yake Bi Jojo (Kisha) na Dona Rugaibula
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare mara baada ya shughuli ya Mazishi
Dona Rugaibula na Mdogo wake Ruganzi Rugaibula pichani
Bwana Dona Rugaibula mara baada ya kupokea mkono wa rambirambi kutoka kwa marafiki zake, pichani yupo Bwana Abdul (Koma)Galiatano
Muonekano wa Kaburi la Mlangira Adeodatus Rugaibula
Bwana Justuce Rugaibula akipokea mkono wa pole kutoka kwa mmoja wa waombolezaji wa Msiba wa mzee wake mpendwa Mlangira Rugaibula
Sehemu ya wadau mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mlangira Rugaibula
Mr. Elnest Mushobozi,Bwana Rutta na Edwin pichani wakibadilishana mawazo wakati wa shughuli ya mazishi ya Mlangira Rugaibala
Mwisho #Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima Mwenyezi Mungu hampe pumziko la milele mzee wetu