Bukobawadau

ROSEMARY'S SEND OFF PARTY

Ni Usiku wa Bi Rosemary Romwad Muchunguzi Bi harusi mtarajiwa wa Bwana Amani Kizuguto  kama anavyoonekana pichani wakati akikabidhi zawadi ya Saa maalum pamoja na zawadi kwa wazazi wake walezi  Mr & Mrs Datus Lwihula
Bi harusi mtarajiwa Bi Rosemary Romwad Muchunguzi akiwa tayari kukata Keki ,pichani kushoto ni Bwana Amani Fransic Kizuguto ambaye ndiye mme wake mtarajiwa 
 Mjini Bukoba na mkoani Kagera mtengenezajiil wa Keki za shughuli Kama hii anaitwa Vai Cakes  ndiyo waandaaji wa Keki hii pichani mwanadada huyo hodari Mbunifu na Fundi akiwajibika kuwakatia watarajiwa Keke.
Bwana Amani Fransic Kizuguto akimlisha Keki Bi #Rose.
Bi harusi mtarajiwa akiwa tayari kumlisha Keki mmewe mtarajiwa

Zawadi ya keki kwa upande wa Wazazi wake

 Mkono wa shukrani mara baada ya kupokea zawadi ya Keki
Muendelezo wa matukio ya picha kupitia mtatandao wako pendwa wa @bukobawadau kwa habari na matukio yanayojiri katika ukanda wetu.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Shughuli hii Bwana Yunus akikabidhiwa zawadi ya Keki kwa niaba ya wanakamati
Picha ya pamoja wanakamati ya maandalizi na Bi harusi mtarajiwa moja kwa moja kutoka ndani ya ukumbi wa Linas Club Mjini Bukoba.

Mkono wa pongezi mara baada ya kukabidhi zawadi ya Keki kwa upande wa Wazazi wa Mme wake mtarajiwa.
Zoezi la kutoa zawadi ya Keki kwa kuzingatia makundi mbalimbali likiwa linaendelea


Tukio la kumkabidhi zawadi Bibi yake  mpendwa.
Zawadi maalum kwa Kaka yake wao upenda kuitana mapacha na Vitabu vitakatibu vinasema;'tutaheshiwa na tutakaribishwa kwa uchangamfu na ndugu na dada zetu'

Sifa ya kwanza ya tunda la roho ambayo maandiko yalitaja ni sifa yenye thamani ya upendo kinaendelea kutoka Bi Rose ni kitendo kinachotoa ushahi kwamba yeye Chaguo lake ni Bwana Amani Fransic wa Kizuguto 


Pichani wanaonekana wanafamilia 'Wanyaluganda' wa Bi Rosemary.
Wanakamati wakielekea kupokea zawadi ya Keki




Wana Rugambwa marafiki wa Bi Grace wakiwa katika picha ya pamoja
 Zoezi la kufungua champagne.
Bi Lilian Rwihula  akiwa tayari kufungua Champagne.
Ni mwendo wa kuteleza ukumbini kama wanavyo onekana Mr &Mrs Datus


 Taswira ukumbini wakati shughuli inaendelea
Taswira mbalimbali shughuli ikiendelea ukumbini

Marafiki wa karibu wakitoa zawadi kwa Bi Grace.

On point.
Mr &Mrs Datus pichani wakiwa tayari kwa ajili ya kukabidhiwa zawadi

 Zawadi maalum kwa wazazi walezi

 Bwana Yunus Kabyemela Mwenyekiti wa hafla hii akitolea Jambo ufafanuzi
 Sala maalum kwa ajili ya Chakula
Neno la shukrani kutoka upande wa mtarajiwa wetu Bi Rosemary
 Pongezi zikiendelea 
Pongezi za hapa na pale zikiendelea hakika shughuli imependeza na watu wote wanaonekana wenye furaha.
 Muendelezo wa matukio wakati waalikwa wakitoa pongezi kwa mtarajiwa Bi Rosemary
Pongezi za hapa na pale zikiendelea ukumbini
Utaratibu wa waalikwa kupata Msosi 
Matukio ukumbini na Bukobawadau photo Credit @Nyumbani Studio
Taswira mbalimbali ukumbini
Miongoni mwa waalikwa pichani ni  Bi Rukia Kassim na Bi Lilian Peter Mwise 



Utaratibu wa waalikwa kupata huduma ya chakula ukiwa unaendelea.


 Sehemu ya matukio wakati wa utambulisho
Wanafamilia wa pande zote mbili kutoka Tanga kwao na Bwana harusi mtarajiwa vilevile kutoka Kishanda anapotokea Bibi harusi mtarajiwa
Bwana Sudi na Bwana Jamal Jamco wakifuatilia kinachojiri ukumbini


Picha za matukio ukumbini na wakali wa shughuli hizi #Bukobawadau na #Nyumbanistudio

Bi Grace na Lilian wakicheck na Camera yetu ukumbini
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
 Mambo yalikuwa super mambo yalikuwa poa hivi ndivyo  ilivyokua kwenye red carpet
Muonekano wa Bi Grace kwenye red carpet
 Picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Bwana Jamal Jamco ,Kijana Raul na Mc Baraka katika picha ya pamoja
 Watu wote wakiendelea kupata huduma safi ya Msosi iliyoandaliwa na Mtaalam Bi Hawa Hassani
Matukio ya kupata chakula kwa watu wote ukumbini
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
 Kijana Raul Rwihula akionekana
 Mshereheshaji wa shughuli hii ni #McJerry
Bwana Jamal Jamco ,Kijana Raul na Mc Baraka katika picha ya pamoja
Sehemu ya Keki husika kutoka kwa @vai_cakes yule Mwanadada Hodari, Mbunifu na Fundi hasa wa kuoka keki ,ni mtengenezajiil wa Keki za shughuli mbalimbali kama vile #Harusi #Sendoff #Mijuburo, #Ujinduzi #KitchenParty #Birthday #warsha #ubatizo na Shughuli za kiofissi. Hakika ukizitizama keki zake lazima utakubaliana nami kuwa ameleta mchango mkubwa sana kwenye mabadiliko ya utengenezaji wa Keki hapa mjini Bukoba na mkoani Kagera
Jamaa ni mkali wasiliana naye kwa huduma bora Kupitia +255 764 302 621 instagram @vai_cakes .
 Muendelezo wa matukio ya picha ukumbini #Rose'sSendoffParty
Hongera sana Dada Rose umependeza sana
#Rose'sSendoffParty #‎NyumbaniStudio‬ wale wataalam wenye uwezo na kipaji cha kupiga picha na kumfanya mtu anukie kiujana ata kama age imeenda,Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0768 397241, +255 784 505045 na 0754 0715 505043
 Mtu na Kaka yake pichani ni Bi Grace na Mc Baraka
 Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali kwenye red carpet wakati wa sherehe ya kumuaga Bi Rosemary Romwad Muchunguzi kama anavyo onekana msimamizi wa shughuli hii #EngDatus pichani

 Kijana Evody (Dogo Ditto) katika picha ya pamoja na Bi Grace Mrs Datus
 'Amakune ga buhaya'
Zawadi maalum zikikabidhiwa kwa mila na desturi ya wahaya
Kijana Evody (Dogo Ditto) katika picha ya pamoja na Bi Grace Mrs Datus
Follow @Bukobawadau kupata matukio ya kila siku yanajiri Bukoba na kwingineko kwa picha kali za kisasa tupo na #Nyumbanistudio.
Endelea kuwa kufuatilia #Bukobawadau BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043

Next Post Previous Post
Bukobawadau