Bukobawadau

UMATI WAMPOKEA HAJJAT DOTTO (MAMA RUBBY)

Mjini Bukoba siku ya jana Umati wa Wadau waliweza kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba kumpokea Hajjat Dotto (Mama Ruby)  pichani kushoto wakati akitoka Makkah katika ibada ya Hijja 
 Nje ya Uwanja wa Ndege mjini Bukoba umati wa watu wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumpokea rafiki yao Hajjat Mama Rubby akirejea kutoka Makkah nchini Saudi Arabia
Pata mtiriko mzima wa Mapokezi ya Hajjat Dotto (Mama Ruby) kuanzia Uwanja wa Ndege mpaka nyumbani kwake maeneo ya Hamugembe -Kashabo Bukoba shughuli iliyo ongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera na Viongozi wa Vyama na Serikali
Wadau mbalimbali waliza kujitokeza siku ya Jumamosi kumpokea rafiki yao Hajjat Dotto Mama Ruby
Watu ni wengi kweli hakika ni siku ya aina yake na ni mapokezi ya kipekee kutoka  kwa wenyeji wa Mji wa Bukoba 
Anaonekana mwenye furaha Bi Murungi Badru Kichwabuta pichani
#Bukobawadau tunatoa pongezi za dhati kwa Hajjat Dotto (Mama Ruby) kwa kukamiliaha ibada hii ya Hija ambayo hufanyika kila mwaka na waumini takribani milioni mbili wa dini ya Kiislamu hukusanyika huko Makka nchini Saudi Arabia
Bi Rausa Abdulmarick mtu wa watu hakuwa nyuma katika hili
Ni ndelemo furaha na vifijo  #MapokeziyaHajjatMamaRuby
#Bukobawadau tunatoa pongezi za dhati kwa Hajjat Dotto (Mama Ruby) kwa kukamiliaha ibada hii ya Hija ambayo hufanyika kila mwaka na waumini takribani milioni mbili wa dini ya Kiislamu hukusanyika huko Makka nchini Saudi Arabia
Sheikh Haruna kichwabuta katika picha na Ustaadh Yusuph Songoro




 Muendelezo wa matukio ya picha#MapokeziyaHajjatMamaRuby
Bi Janath Kayanda akisalimiana na  Uncle Majid Kichwabuta




Pongezi za hapa na pale zikiendelea mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege Mjini Bukoba
Hussein Kaitaba akimlaki Hajjat Mama Ruby
Picha maalum ya familia ya Hajjat Dotto (Mama Ruby)
Msafara mkubwa wa magari ukielekea mjini kata kutoka Uwanja wa Ndege mjini hapa
Al Hajj Kazinja pichani kulia akiwajibika kwa kumuendesha Hajjat Dotto (Mama Ruby)
Msafara ukiwa barabara ya Kashai maeneo ya Tumaini.
 #MsafaraMapokeziyaHajjatMamaRuby
Msafara wa magari ukiwa  barabara ya Kashozi
 Nje ya Msikiti wa Jamia Mara baada ya msafara kutoka Uwanja wa ndege kabla ya kuelekea nyumbani kwa Hajjat Mama Ruby.

 Taswira nje ya Masjid Jamia.
 Bi Sophia Hamad pichani
Sehemu ya marafiki wa karibu wa familia ya Hajjat Dotto Mama Ruby wakiwa nae begabega katika shughuli ya mapokezi hayo
Hajjat Mama Rubby akitoa neno.
 Bi Rukia Kassim Wa Wamenya (Mama Lulu) katika mwendo wa Selfie
 Wanapamoja pichani nao wakiwa wamewakilisha vyema shughuli nzima ya mapokezi na Dua ya Hajjat Mama Ruby
 Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini Sheikh Kakwekwe akiongoza kisomo cha Qur'an #MapokeziyaHajjatMamaRuby
 Shangwe kubwa ukumbini #MapokeziyaHajjatMamaRuby
 Mwongozaji wa shughuli nzima ni Al Hajj Salum Mohammed (Mawingo) kama anavyo onekana akiendelea kuwajibika
 Sehemu ya umati ukiendelea kufuatilia kinachojiri ukumbini  #MapokeziyaHajjatMamaRuby
 Burudani ya kaswida ikiwa inapokelewa vyema kama unavyoweza kujionea pichani
Marafiki wa familia ya Hajjat Mama Ruby wakiendelea kufuatilia kila kinachoendelea kwa karibu.
 #MapokeziyaHajjatMamaRuby
Taswira mbalimbali wakati shughuli inaendelea
Shaffi na Bushira kama kawaida wakiongoza hamsha hamsha  ukumbini
 Dua maalum ikiendelea nyumbani Kashabo Bukoba mara baada ya mapokezi ya mama Ruby #MapokeziyaHajjatMamaRuby
Watoto wa Kiume wakuzaliwa na Hajjat Mama Ruby wakipongezana kwa kukumbatiana
Sheikh Haruna Kichwabuta Sheikh wa Mkoa wa Kagera akitoa nasaha zake
 iFuraha na pongezi za hapa na pale #MapokeziyaHajjatMamaRuby
Shukrani kwako wewe msomaji kwa kuchagua #bukobawadau ....jiunge nasi katika kurasa zetu za facebook na Instagram @bukobawadau kwa habari na matukio ya papo hapo.
 #MapokeziyaHajjatMamaRuby
Bwana Kamala Kalumuna na Mdau Ashraf Kazinja wakibadilishana mawazo
  Matukio zaidi #MapokeziyaHajjatMamaRuby yanapatikana katika kurasa zetu za facebook na Instagram @bukobawadau
Umande wa Jikoni kikosi kazi kiliongozwa na Bwana Habibu (Kisauti)
 Muendelezo wa Matukio ya picha mara baada ya shughuli ya mapokezi na Dua kukamilika
Shukrani kwako wewe msomaji kwa kuchagua #bukobawadau ....jiunge nasi katika kurasa zetu za facebook na Instagram @bukobawadau kwa habari na matukio ya papo hapo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau