IBADA TAKATIFU YA KUMSHUKURU MUNGU NA KUMALIZA MATANGA YA KAKA YETU JULIUS MCHUNGUZI
Padri akibariki kaburi la mpendwa wetu marehemu Julius Mchunguzi tunamuombea kwa Mungu aendelee kumpa pumziko jema la milele.
Wanafamilia ya Marehemu Mzee Kibirango wa Kishanda Muleba wakati wakiendelea kushiriki Ibada eneo la kaburi walipoungana jamaa na marafiki katika Ibada takatifu ya kumshukuru ya kumshukuru Mungu na kuwakumbuka wazazi na ndugu waliotangulia mbele ya haki na kumaliza Matanga,' Msiba wa kaka yao Mpendwa Mchunguzi.
Paroko wa Kanisa Katoliki la Ganyamkanda Kishanda Parokia ya Rukindo akinyunyuzia maji ya baraka kwenye makaburi ya wapendwa wetu.
Ndugu wa familia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
Sehemu ya Majirani na marafiki wa familia wakiendelea kushiriki Ibada takatifu ya kuwaombea wapendwa wetu pamoja na kumaliza Matanga Mwaka mmoja kifo cha Marehemu Julius Mchunguzi.
Ndugu Alban Wenfrebe miongoni mwa marafiki wa familia walioweza kushiriki Ibada hiyo
Sehemu ya wanakwaya wakiendelea kuimba nyimba na mapambio ya kuabudu.
Wanafamilia wakiendelea na Ibada
Wanafamilia wakiendelea na Ibada
Muendelezo wa matukio ya picha Ibada takatifu ya kumshukuru na kumaliza Matanga,' Msiba wa kaka yao Mpendwa Mchunguzi.

Baba Paroko akiendelea kuongoza Ibada.
Pichani kushoto ni Bwana Bashiru Katela
Eng.Datus Rwihula akitoa neno kwa niaba ya familia na kwa niaba yake mwenyewe,kama utakavyoweza kumsikia kupitia iliyopo mwisho kabisa wa Ukuraha huu.
Ndugu wa familia katika hali ya Usiku
Wanafamilia wakiendelea na utaratibu wa kutoa sadaka
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiendelea
Bi Revna skitoa Sadaka yake
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiendelea
Taswira mbalimbali katika picha wakati Ibada Ikiendelea
Kaka Mkubwa wa familia katika picha na Mogo wake Eng.Datus Rwihula
Endelea kuwa nasi kwa mtiriko wa matukio ya picha mara baada ya Ibada kukamilika

Muendelezo wa matukio ya picha.
Marafiki wa familia wakitoa mono wa heri na upendo kwa Eng.Datus RwihulaEndelea kuwa nasi kwa mtiriko wa matukio ya picha mara baada ya Ibada kukamilika
Ni muda sasa kwa watu wote kupata huduma safi ya Chakula kilichoandaliwa.
Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kupata msosi
Huduma ya Chakula ikiendelea kwa watu wote
Ndugu wa familia wakiendelea kupata msosi safi ulio andaliwa kwa watu wote.
Mwalimu Lambart Mkwe wa familia hii akipata msosi
Katika hili na lile Eng Datus pamoja na Wazee marafiki wa familia wakibadilishana mawazo.
TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI
Mwisho tunatoa pole kwa familia na tunamuombea marehemu Julius Mchunguzi Mungu aendelee kumpa pumziko jema la milele.