Bukobawadau

HUDUMA BABU KUBWA KUTOKA COSAD TALENT VILLAGE

Huduma zinazopatikana  *Imuka Lounge @ COSAD Talent Village *

Dear Partners : 
Mbali na Huduma za Kurekodi, Ukumbi na Concerts/ Performance Space napenda kuwataarifu kuwa Huduma Zifuatazo Sasa zinapatika Mubashara ndani ya KIJIJI CHA VIPAJI CHA COSAD : 
1. Vinywaji Vya AINA ZOTE
2. Nyama Choma
3. Chakula Cha aina zote
4. Soup/ Mchemsho ( Samaki, Kuku, Vegetables) 
5. Sehemu nzuri za kulala
6. Wireless Internet / WiFi

7. Coffee Bar
Karibuni sana,Kwa Mawasiliano au Maswali: Wasiliana na Meneja : 
Simu :0743449216
Email: bukoba@gmail.com
Imetolewa na Rais wa Cosad Tanzania Bw. Smart Baitan pichani
Next Post Previous Post
Bukobawadau