#UMURA ROCKS NA SHANGWE ZA MWAKA MPYA
Mwaka mpya ulivyoadhimisha na wadau mjini Bukoba kwa shangwe za aina yake pande za 'Umura Rocks ' sehemu sahihi kabisa na tulivu iliyopo kilimani (Businde) pembezoni mwa Ziwa Victoria ,Hakika wadau hao walionekana kupendezeza kifamilia zaidi na kuufanya Usiku huo kuwa wa aina yake
Ni Shangwe,vifijo,nderemo vikisheheni katika Kiota cha 'Umura Rock' watu wakisherehekea kuanza kwa Mwaka Mpya 2019
Mr Thomas Bukoba akifunga champaigne ikiwa
Anaonekana Bw.Wence, Mr Leo leo na mtaalamu Alex Mtiganzi wakifurahi kwa pamoja
Ni mendo wa furaha mahali hapa kwa watu wote waliohudhuria
Mr & Mrs Edward Kazimoto pichani
Mr 'Never Miss' Alex Mtiganzi kama kawaida ndani ya nyumba.
Pale 'Akatambala' ya Saida Karoli inapozidi kunogesha
Dada Farida Kassim akifuatilia kinachijiri
Ngoma kali zikiendelea..
Furaha ya kusherekea mwaka mpya ikiendelea @UmuraRocks.
Hii ni sehemu ya kwanza ya matukio ya liyojiri...
Mmiliki wa Kiota cha 'Umura Rocks ' akitoa neno.
Nyota wa Usiku huo ni Mr &Mrs Ruge Masabala.
Bwana Edward Kazimoto mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya 2019 akifurahi kwa kucheza midundo ya kale
Furaha ya mambo,furaha ya mwaka mpya!
Mratibu Mipango wa shangwe hizi Bw.Christopher Chichi Nyamwihula akifurahia show inayoendelea
Bi Willielmina Byalyagati mkurugezi wa 'Umura Rocks' na Mrs Chichi pichani
Wanafamilia Katika picha ya pamoja
Hakika mambo ni motoooooooooo!! kama anavyo onkena waalikwa wakiendelea kupata Vinjwaji ,Soup na nyama choma.
Mambo ya kuperuzi na kuchat
Keki husika ilikatwa....
Shangwe zikiendelea kuchukua kasi
Burudani ya Music mahala hapa ikiendelea..
Waalikwa wakifuatilia sho kali zinazoendelea wakiendelea
Waalikwa wakiendelea kupata Vinjwaji ,Soup na nyama choma.
Muendelezo wa matukio ya picha.
Wakuita Geddy Orginal na mke wake wakishow love mbele ya Camera yetu
Wakuitwa Jamila Jam jam naye alikuepo
HII NI SEHEMU YA KWANZA... Endelea kua nasi kwa matukio zaidi ya picha