Bukobawadau

BALOZI DR KAMALA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBONI ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA KILA SHULE YA SEKONDARI KUSAIDIA UJENZI NA UKARABATI WA MADARASA

 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr Deodorus Kamala akiongea na wananchi wa Kijiji cha Nkerenge Kata Mutukula waliohudhuria mkutano wake wa hadhara uliofanyika jana Jumamosi Feb 16,2019 katika viwanja vya shule ya Msingi Nkerenge kata Mutukula na kusikiliza kero zao.
 Wadau mbalimbali wakiendelea kutoa hoja zao kuhusu masuala ya ardhi kama utakavyoweza kusikia kupitia sehemu ya video hapo chini
 Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mbunge wao
 TAZAMA KATIKA VIDEO HAPA CHINI  
Sehemu ya Video Balozi Dr Kamala akiendelea kuzungumza na wananchi wa Kijiji Nkerenge Kata Mutukula
Next Post Previous Post
Bukobawadau