Bukobawadau

MAHAFALI YA SABA YA KIDATO CHA SITA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA JOSIAH YAFANA

Siku ya Jumamosi March 16, 2019 ilikuwa siku yenye furaha kubwa kwa Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah iliyopo manispaa Bukoba.
Theme:An Investiment in Knowledge Pays the best Interest. (kuwekeza kwenye Elimu huleta tija)
Mgeni rasmi katika mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah , Afisa tawala wilaya Bukoba,Bi Kidole Kiligala (kushoto) akiongozana na mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah,Mwita Samuel na viongozi wa shule hiyo kuelekea kwenye ukumbi wa mahafali.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Shuleee ya Sekondari ya Wasichani ya Josiah iliyopo Manispaa Bukoba
 Wahitimu wa kidato cha Sita wakiongoz masafara kuelekea kwenye Ukumbi wa mahafali
 Wahitimu wakiimba nyimbo mbalimbali wakati msafara ukielekea Ukumbini
"My Dream my Destiny"
 Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wakielekea katika Ukumbi wa Mahafali hayo
Wanafunzi Wakielekea Katika Ukumbi wa Mahafali hayo
Mwanafunzi akiimba Wimbo maalumu wa Bongo Fleva.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondai ya Wasichana Josiah akionyesha kipaji chake katika Hip hop

Wanafunzi wakishusha burudani ya Ngoma ya Asili ya Kiganda
Buudani safi ya Ngoma ya Asili ya Kiganda ikiendelea




















Inaendelea....
Next Post Previous Post
Bukobawadau