Bukobawadau

MAPOKEZI YA MWILI WA #RUGEMUTAHABA #BK!

Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu Ruge Mutaaba mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba mapema ya leo, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti ameongoza Umati mkubwa wa watu waliofika kuupokea mwili huo na kuongoza msafara mpaka kijijini kwao Kiziru Kabale Bukoba ambapo mazishi yatafanyika.siku ya kesho Jumatata.
Mwili wa marehemu Ruge Mutahaba ukiwa katika gari baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mapema ya leo
 Waendesha pikipiki wakiwa wamejitokeza kwa Wingi
 Msanii Barnaba akiwa katika ali ya majonzi
 Pata mtiriko mzima wa matukio kutoka Uwanja wa Ndege Bukoba mpaka Kijijini Kabale.

 Sheikh Haruna Kichwabuta akielezea namna alivyo upokea msiba huu
 Katikati ya Mji wa Bukoba
Hali ilikuwa ivi mitaa mbalimbali ya Mji wa Bukoba
 Bwana Ruge Masabala akibadilishana mawazo na Bi Regna Mengi
 Mzee Rutabingwa pichani kulia akiwafariji wafiwa.
 Taswira kijijini Kabale mara baada ya mwili kuwasili
 Maeneo ya Kijijini Kabale .
 Muendelezo wa matukio ya picha, mapokezi ya mwili wa Ruge Mutahaba Bukoba
Bwana Kazimoto Kushoto mwenyekiti wa kamati ya Mazishi.
Bwana Ruga Baruta, Mtaalam Thomas Charles na Mlangira Deo Deka nao wameweza kushiriki mapokezi hayo
Muendelezo wa matukio ya pica.
 Waombolezaji wakiendelea kumfariji Mzee Mutahaba
 Umati wa waombolezaji Kijijini Kabale mapema ya leo mara baada ya Mwili kuwasili.
 Mwachi ambaye ni mtoto wa kwanza wa marehemu, Ruge Mutahaba akiwajibika msibani hapo
 Ndugu William Ruta akiteta jambo na Ruge Masabala
 Mwachi Mutahaba pichani mtoto mkubwa wa Ruge Mutahaba
 Adv Isengoma mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Mazishi ya Mpambanaji Ruge Mutahaba akibadilishana mawazo  na Prof Mkandala
 #rugemutahaba #RememberingRuge #JasiriMwongozaNjia

Taswira mbalimbali mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutaba Mjini Bukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau