MWILI WA MPENDWA WETU JOYCE M. MEDADI WAPUMZISHWA KIJIJINI KWAO KAMACHUMU...!
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Joyce Mkarukwatage Medadi (38) aliyefariki baada ya kuugua kwa siku chache huko jijini Dar es Salaam na kuzikwa nyumbani kwao Kijijini Kafunjo Kamachumu Wilaya Muleba siku ya Jumamosi Marchi 23,2019.
Mwanzo wa Shughuli ya Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Joyce Medadi
Ibada ya Mazishi ikiongozwa na Katiksti Yoyce Rwegoshora wa Kigango cha Kafunjo -Rutabo Kamachumu.
Umati wa waombolezaji wakiendelea kushiriki mazishi ya Mpendwa Wetu Joyce Mkarukwatage Medadi yaliyofanyika siku ya Jana Jumamosi March 23,Nyumbani kwao Kijijini Kafunjo Kamachumu
Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya Mpendwa wao Joyce Mkarukwatage Medadi
Ma Lumerinda pichani katikati,Mama mzazi wa Marehemu Joyce Medadi tunayempumzisha katika makazi yake ya Milele siku ya leo
Taswira mbalimbali wakati Ibada ya maziko inaendelea
Katika huzuni mkubwa wanaonekana Watoto wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Joyce Medadi pichani ni Jackson na Elieza
Watoto watatu wakuzaliwa na Marehemu Joyce Medadi wakiwa wameoungana na waombolezi wengine wakati Ibadi inaendelea kutoka kushoto ni Ekieza, Jackson na Boniphace
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi hayo.
Simanzi kubwa wa Mr. Bayona ambaye ni mkwe wa familia hii ni shemeji wa Mpendwa wetu Joyce Medadi pichani,
Ni Muda wa kutoa Sadaka
Waombolezaji wakitoa Sadaka zao.
Mlangira akitoa sadaka yake
Waumini na waombolezaji wakiendelea kutoa sadaka zao
Muendelezo wa matukio wakati wa kutoa Sadaka kwa waumini
Poleni sana ndugu kwa msiba huu wa Dada yenu mpendwa
Muendelezo wa matukio ya picha
Sehemu ya Waombolezaji wakiendelea kufuatilia kinachojiri.
Hakika tunakuombea Mungu aendelee kuwapa faraja watoto hawa wa mpendwa wetu Joyce Medadi.
Mmoja wa watoto wa Marehemu mara baada ya kutoa heshima za mwisho
Mama mzazi wa Mpendwa wetu Joyce Medadi , Ma Lumerinda akitoa heshima za mwisho
Dada wa marehemu Joyce akitokwa na machozi wakati wa kutoa heshima zake za mwisho
Vilio vikitawalawakati wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Joyce

Wanafamilia na Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Joyce
Poleni Sana ndugu pole sana Mama mzazi wa Joyce Medadi
Vilio na majozi vikiwatoka waombolezaji
Taswira mbalimbali eneo la tukio
Salaam za rambirarambi kutoka Kanyigo zinatolewa na Mwakilishi wa familia ya Mlangira Mboneko
Katibu wa Mbunge Charles Mwijage akitoa salaam za rambirambi kwa niaba ya Mbunge
Katibu wa Mh Charles John Mwijage mbunge wa Muleba Kaskazini akikabidhi rambirambi kwa Ma Lumerinda
Wanachama wa Tawi la CCM kafunjo wakiwa tayari kwa ajili ya kukabidhi rambirambi zao
Salaam za CCM tawi la Kafunjo Kamachumu
Muendelezo wa Salaam za rambirambi kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Wakati Mama Mzazi wa Marehemu Joyce akipokea rambirambi kutoka kwa baadhi ya waombolezaji
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya mpendwa wetu Joyce Mkarukwatage Medadi

Kutoka Maruku Bukoba ukweni,salaam za rambirambi zikitolewa
Katika hili hili na lile wakati taratibu zikiendelea
Kutoka Jijini Dar Es Salaam Mwakilishi wa familia ambaye ni Dada wa Marehemu Joyce, Mr Deo Kifman akitoa neno kwa ufupi

Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Joyce Mkarukwatage Medadi lilibebwa kuelekea eneo la kaburi
Jeneza likiwa tayari kuingizwa kwenye kaburi
Utaratibu wa kuweka Udongo kwenye Kaburi
Waobolezaji wakiweka Udongo kwenye kaburi
Utaratibu wa kuweka Udongo ukiendelea
Watoto wa mpendwa wetu wakiweka shada la maua
Wakwe wa familia hii wakiweka shada la maua kwa pamoja
Wanafamilia wakiweka maua kwa pamoja
Katiksta Rwegoshora akiendelea kuongoza Ibada eneo la kaburi
Mwl. George na binti ya Lesper wakati maziko yanaendelea.
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya mpendwa wetu Joyce Medadi
Mr. Deo Kifman akibadilishana mawazo na rafiki yake Bwana Chuchu pichani kulia
Muongozaji washughuli nzima akitolea jambo ufafanuzi
Hivi ndivyo ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya mpendwa wetu Joyce Medadi
Mwalimu Beaty Kyombo aliyefiwa na Dada yake akiteta jambo na kaka yake Mr Deo Kifman mara baada ya shughuli ya mazishi/