SHUKRANI KWA WALIOTUFARIJI KATIKA MSIBA WA MAMA YETU MPENDWA BI HELLEN FREDRICK BARUTI WA BURUGO -BUKOBA
Wanafamilia wa Mzee Fredrick Baruti wa Burugo-Mugeza #Bukoba inayo heshima kubwa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa ndugu, jamaa na marafiki ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba,mazishi na hatimaye matanga ya Mama yao Mpendwa, Hellen Fredrick BaRUTI aliyefariki dunia March 2 Jijini Dar es Salaam na kuzikwa siku ya Jumatano March 7 nyumbani kwake maeneo ya Mugeza kijiji Burugo Bukoba.
Watoto wa familia ya Mzee Fredrick Baruti wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia wa shule ya Msingi Mugeza Viziwi waliopata mwaliko wa kushiriki na familia hii katika Ibada takatifu ya matanga ya mama yao mpendwa Bi Hellen Fredrick Baruti iliyofanyika Jana.
Wanafamilia wakiendelea kufurahi na wanafunzi wa shule ya Msingi Mugeza Viziwi.
Wanafamilia ya Mzee Fredrick Baruti wakiwa katika picha na Askofu wa KKKT na Mama Mchungaji wa Burugo walioongoza Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Bi Hellen Baruti
Katika picha ya pamoja na Marafiki wa familia
Ndugu Ruga Baruti katia picha na Baba yake Mdogo
Katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu,katikati ni Ndugu Chirstopher Chichi Nyamwihul
Marafiki wa familia waliofika kuwafariji Wafiwa na kushiriki nao Shughuli ya matanga
Muendelezo wa matuio ya picha mara baada ya Ibada ya Matanga ya Mama yetu Mpendwa Bi Hellen Fredrick Baruti.
Familia inaendelea kutoa shukrani wa watu wote inasema;hatuna cha kuwalipa kwa fadhila zenu bali mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia kwa wema wenu.
Marafiki wa familia na wanakamati ya Mazishi pichani,kwa namna ya pekee Familia ya Mzee Fredrick Baruti inaendelea kutoa shukrani kwenuwa inasema;hatuna cha kuwalipa kwa fadhila zenu bali mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia kwa wema wenu.
Mama Adventina Matungwa wakati akiwasili uungana na wanafamilia
Ndugu Novatus Nkwama aitoa neno la shukrani kwa familia na nasaha kidogo kwa watu wote.
Ndugu Bushira, Mama Savelina Mwijage na MNEC Willy Mtabuzi
Ndugu Novatus Nkwama mara baada ya kutoa neno la shukrani, kulia kwake ni Mlangira Justus Rugaibula
Marafiki wa familia wakiendelea kuwafariji wafiwa sambamba na picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Bwana Rama na Ustaadh Faridi Lugusha
Bi Kisha (Mrs Justuce Rugaibula) pichani
Bi Jovitha Njunwa akibadilishana Mawazo na Ndugu Willbroad Mutabuzi (Mnec Mkoa Kagera
Pichani yupo Ndugu Cathbart Basibila, Mzee Masauti na Bi Jane
Huduma za vinjwaji mbalimbali ikiendelea
Ibada ikiwa inaendelea
Asofu wa KKK akiendelea kuongoza Ibada
Taswira wakati Ibada inaendelea
Taswira Ibada ikiwa inaendelea
Taswira mbalimbali wakati wa Ibada ya Matanga
Muendelezo wa matukio wakati Ibada inaendelea
Ibada ya Matanga ya Mpendwa Bi Hellen Fredrick Baruti ikiwa inaendelea
Bwana Ruga Baruti katika picha na Mzee Johnson Masabala
Mzee John Kataraia akibadilishana Mawazo na Mlangira Justuce Rugaibula
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Waalikwa walioweza kuungana familia hii kumaliza Matanga ya mpendwa wao.
Huduma safi ya Msosi ulioandaliwa ikiendelea
Huduma ya chakula ikiendelea
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Bwana Rwangisa Baruti akiwajibika
Mapa Kisha pichani
Kaka Halord akitoa neno la shukrani mara baada ya Ibada ya Matanga ya Mama yake mzazi
Dada wa familia wakimsikiliza Kaka yao Halord wakati anatoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
Kaka Halord akitoa neno la shukrani mara baada ya Ibada ya Matanga ya Mama yake mzazi baada ya hapo utaratibu ilikuwa kula kunywa na kubadilisha mawazo
Sasa ni mwendo wa Gambe
Muendelezo wa matukio
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mugeza Viziwi akiongea kwa Ishara na wanafunzi hao mbele ya Wanafamilia ya Mzee Fredric Baruti