Bukobawadau

SHUKRANI KWA WOTE WALIOSHIRIKI MATANGA YA MPENDWA WETU MA MASTIDIA BARUTI

Familia ya Mzee Willison Baruti wa Burugo Mugeza Bukoba wanapenda kuwashukuru watu wote walioshiriki katika shughuli ya Matanga ya Mama yao mpendwa familia inasema hawana cha kuwalipa kwa fadhila zenu bali mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia kwa wema wenu.
 Pata matukio ya picha yaliyojiri katika shughuli nzima ya Matanga ya Mpendwa wetu mzazi wetu Ma Mastidia Kokutekereza Baruti iliyofanyika nyumbani kwao kijijini Burugo Mugeza nje kidogo ya Mji wa Bukoba.
Watoto wa kuzaliwa na Mzee Willison Baruti wa tatu kutoka kushoto pichani wakati wakipokea baraka za matoleo kutoka kwaMchungaji Peter aliyeongoza Ibada hiyo.
Mchungaji Peter akitoa baraka za kufunga Ibada ya Matanga ya mpendwa Ma Mastidia Baruti.
 Muongozaji namba moja wa Shughuli hii Mc Jerry akisherehesha kwa Wimbo Enyi Watu Wote Pigeni Makofi: ( Enyi watu wote pigeni makofi....)
 Muonekano wa Kaburi la Mpendwa wetu Mama yetu Mastidia Baruti, tunaendelea kumuombea kwa Mungu aendelee kumpa pumziko jema mahala pema !
 Wanafamilia katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu mapema kabla ya Ibada ya Matanga ya mpendwa wao Ma Mastidia Baruti
 Endelea kufuatiria mtiririko mzima wa matukio ya picha..
 Bwana Ruga Baruti na raiki yake Haidary Katakweba wakifuatilia yanayojiri Ukumbini
 Sehemu ya Wanafamilia wakifatilia yanayojiri
Marafiki wa familia pichani
Mzee Pius Ngeze akitoa neno la Shukrani kwa niaba yake mwenyewe na kwa niaba ya Wazee marafiki wa familia ya Mzee Baruti.
Mr &Mrs Winsto (Ruga) Baruti katika picha ya pamoja na marafiki walioungana nao katika Ibada ya Matanga ya Mama yao mpendwa,katikati ni Kamanda Mstaafu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Mzee Alfred Tibaigana
 Ndugu Novatus Nkwamba kitoa neno la shukrani 
 Ndugu Cathbert Basibila Mtaalam akitoa salaam za shukrani kwa niaba ya marafiki wa familia kutoka Miembeni Bukoba
 Ndugu Self Mkude akitoa salaam kwa niaba ya Wanapamoja Bukoba .
 Waalikwa kwa pamoja wakipata huduma ya Chakula kilichoandaliwa na Familia ya Mzee Baruti
Waalikwa wakipata huduma ya Chakula.
 Utaratibu wa kupata Msosi ukiendelea
 Taswira mbalimbali wakati utaratibu wa kupata Chakula unaendelea
 Muendelezo wa matukio ya picha huduma ya Chakula ikiendelea










 Bwana Ruga akimkabidhi zawadi mmoja wa Mzee rafiki wa familia aliyetoka Kijijini Buganguzi Muleba kwa ajili ya kushiriki nao katika Matanga ya mama yao Mpendwa
Muendelezo wa matukio ya picha.
 Mama Kayunga akiteta jambo na Mzee Baruti
Bi Neema Safari pichani
 Familia ya Mzee Pius Ngeze katika picha ya pamoja na mchungaji aliyeongoza Ibada ya kumaliza matanga ya Mam yetu mpendwa Ma Mastidia Baruti
 Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.


 Mwongozaji washughuli hii Mc Frances Mtungi pichani kushoto
 Ndugu Lutta Buruno, Bi Jane na Ndugu Ruga Baruti wao kama marafiki wakiwa katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu.
 Taswira mbalimbali matanga ya Mpendwa wetu Bi Mastidia Baruti
 Adv Protas Ishengoma akibadilishana mawazo na Baba mdogo wa familia hii
Irene Kayunga katika picha ya pamoja na Mama zake na Mjomba.
 Bwana Ruga Baruti anafanya utambulisho kwa rafiki zake walitoka sehemu mbalimbali kwaa ajili ya kushiriki Ibada na shughuli nzima ya kuanua matanga ya mama yake Mzazi
Muendelezo wa matukio ya picha.
Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare akitoa neno.
Next Post Previous Post
Bukobawadau