Bukobawadau

UMATI MKUBWA NA WATU MASHUHURI WAMZIKA #RUGE MUTAHABA KIJIJINI KABALE- BUKOBA

Jeneza la aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Clouds Media Group, #RugeMutahaba likiteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwao kijijini  Kiziru Kabale #Bukoba .#JasiriMuongozaNjia#TutaonanaRuge #TutaonanaBaadae #PumzikaRuge 
 Wageni waheshimiwa na watu mashuhuri wameweza kushiriki mazishi ya #Rugemutahaba pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akifatiwa na Mh.Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma mjini .
 Pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa Simiyu Antony Mtaka,Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh .January Makamba,Mh.Nape Nnauye wakimfariji Mtangazaji wa Clouds Tv, Baby Kabae.
 Kshoto ni Ndugu Joseph Kahama
Wadau mbalimbali wakiwa eneo la tukio, katikati ni Ridhiwani Kikwete
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiteta jambo na Khadija Shabani Taya maarufu kwa jina la 'Keisha' Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM pichani kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla #MazishiyaRugeMutahaba
Mkuu wa vipindi na maudhui wa Clouds Media Group Sebastian Maganga akiteta jambo na Mkuu wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti .
 Umati wa Waombolezaji wakifuatilia kinachojiri
Watangazaji Millard Ayo na Soudy Brown pichani
Katika hali ya simanzi anaonekana Msanii Nandy.
 Wasanii Mbalimbali na Wanafamilia wa Clouds Media Group
Umati mkubwa wa watu kutoka maeneo mbalimbali wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Ruge Mutahaba
Pichani anaonekana Kamanda wa polisi Mkoa Kagera, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawiro,Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa na Naibu waziri wa maji na Umwagiliaji mhe.Juma Hamidu #MazishiyaRugeMutahaba #Bukoba
Pichani anaonekana Bi Joanfaith Kataraia,Al hajj Abbakari Kagasheki,Mh. Sued Kagesheki na Mzee Pius Ngeze pamoja na waombolezaji wengine.
 Msanii Ali Kiba na Meneja waka Seven Mosha wakiendelea kushiriki mazishi ya #RugeMutahaba
 Muendelezo wa matukio ya picha eneo la kaburi




 Pichani kulia ni Msanii Steven Nyerere
Msanii Rajab Abdul Kahali maaruf kama Harmonize
Katika hali ya huzuni anaonekana Msanii Mrisho Mpoto
Baadhi ya  Wanafnzi wa Shule ya Wasichana Josiah Girls wakishiriki mazishi hayo
 Meneja wa Bank ya CRDB Tawi la Bukoba na Ndugu Divo Rugaibula pichani
 Sehemu ya waombolezaji pichani anaonekana Ndugu Mussa Katabaro,Ashraf Kalumuna na Mike Mushi wa Jamii Forums.

Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiendelea kuwajibika.
Jeneza lenye Mwili wa Ruge #RugeMutahaba likiwa limebebwa kuelekea kwenye kaburi
Wakati Msanii Nandy akiweka Udongo kwenye kaburi la #RugeMutahaba
 Mzee Mutahaba na Mama Mutahaba wakiweka Shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao mpendwa #RugeMutahaba
 Zamaradi Mketema na watoto wa Ruge Mutahaba
Mh.Dkt. Hamisi Kigwangalla na Mh .January Makamba wakielekea kuweka shada ya maua
 Mh.Dkt. Hamisi Kigwangalla na Mh .January Makamba wakiweka shada la maua
 Shafeh Dauda na Majizo wakiendelea kufuatilia kinachojiri
 Utaratibu wa kuweka mashada kuendelea
 Mzee Masasi rafiki wa karibu wafamilia ya Mzee Mtahaba akielekea kuweka shada ya maua
 Dkt Banna akielekea kuweka shada la maua
Mh.Antony Mtaka na mke wake mara baada ya kuweka shada la maua
 #pumzikajasirimwongozanjia #lalasalamaRuge #TutaonanaBaadaye
 Wafiwa wakielekea ndani mara baada ya kumpumzisha mpendwa wao 
 Mama Mtahaba akielekea ndani mara baada ya shughuli ya Mazishi ya Mwanae
 Marafiki na wanafamilia wakielekea ndani mara baada ya mazishi
 Taswira mbalimbali kutoka kijijini Kabale #pumzikajasiri #lalasalamaRuge #TutaonanaBaadaye


 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akibadilishana Mawazo na  Mh.Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma mjini.#pumzikajasiri #lalasalamaRuge #TutaonanaBaadaye

 Asubuhi ya leo Kutoka Viwanja vya Gymkhana Bukoba, Maelfu walivyojitokeza  kuuaga Mwili wa #RugeMutahaba.
 Mpaka mwisho ni matukio ya picha kutoka viwanja vya Gymkhana Bukoba
 Mchungaji wa KKKT akiotoa neno kutoka viwanja vya Gymkana Bukoba
Askofu Msaidizi Wa Jimbo Katoliki Bukoba Mh.Method Kilaini akitoa neno
 Bwana Rama Kambuga na Ndugu Jamal Jamco Kalumuna pichani
 Pole sana Ndugu William Rutta
 #Bukobawadau #Kageratunakulia#JasiriMuongozaNjia#TutaonanaRuge #TutaonanaBaadae #PumzikaRuge
 Mdau Ashraf Kalumuna

 Taswira mbalimbali kutoka viwanja vya Gymkhana Bukoba
 #Bukoba .#JasiriMuongozaNjia#TutaonanaRuge #TutaonanaBaadae #PumzikaRuge
 Muendelezo wa matukio ya picha

 Hakika watu ni wengi kweli kweli
  Flaviana Matata na Mwana FA wakiwasili viwanja vya Gymkhana mapema kwa ajili ya Zoezi ya kuaga mwili wa #RugeMutahaba
Flaviana Matata na Mwana FA wakiwasili
Baadhi ya wafanyakazi wa Clouds Media Group
Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu #RugeMutahaba. #Bukoba .#JasiriMuongozaNjia#TutaonanaRuge #TutaonanaBaadae #PumzikaRuge

TAZAMA KATIKAVIDEO MAPOKEZI YA MWILI WA RUGE MUTAHABA MJINI BUKOBA

Next Post Previous Post
Bukobawadau