MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE BALOZI DR.KAMALA AKABIDHI MIFUKO 2480 YA SARUJI
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Kamala amekabidhi jumla ya mifuko 2480 ya saruji kwa shule zote za sekondari jimboni kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa vyumba vya madarasa.Ambapo kila shule imekabidhiwa mifuko 100 ya Saruji na zoezi hilo limekamilika jana Jumatatu April 1,2019
Makatibu wa Mbunge wa Jimbo la Nkenge wakiwa katika utaratibu wa kukabidhi mifuko 200 ya Saruji kwa ajili ya shule ya Sekondari ya Buyango na Ruzinga,Saruji hiyo imepokelewa na walimu wakuu wa shule hizo Mwalimu Jeofrey Kauzeni wa Ruzinga shule ya Sekondari pichani kushoto na Mwalimu Almas Rugaya wa Buyango shule ya Sekondari pichani katikati
Kutoka kushoto ni Ndugu Peter Mwafiwa katibu wa Mbunge Tarafa Missenyi,Mwalimu Nelson Mwoleka wa Shule ya Sekondari Lugoye na Mh.Msafiri Diwani wa Kata Ishunju
Pichani kulia ni Mwl.Nega Wilberforce Mkuu wa Shule ya Sekondary Tweyambe iliyopo kata Ishozi.
Gari la kampuni ya Dangote Group likiwa na mzigo wa Saruji maeneo ya Mugana /Bwanjai wakati wa zoezi la kusambaza Saruji hiyo
Albert Msemo,Afisa Mipango Wilaya Missenyi akitolea jambo ufafanuzu kuhusiana zoezi la usambazaji wa saruji hiyo kupitia fedha za mfuko wa Jimbo
Pascrates Gaspary Afisa Elimu kata Gera akitoa neno mara baada ya kupokea mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya shule ya Sekondari Gera.
Mh. Msafiri Nyeme Diwani wa Kata Ishunju Wilaya Missenyi
Muendelezo wa matukio ya picha.
Ndugu Mpangala katika picha na Mwalimu Ibrahim Ntenga wa Shule ya Sekondari Gera. AFISA MIPANGO WILAYA MISSENYI,ALBERT MSEMO AKIONGEA KUHUSU USAMBAZAJI WA MIFUKO YA SARUJI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI JIMBO LA NKENGE