NYUMBA INAPANGISHWA IBWERA-BUKOBA VIJINI
Nyumba Inafaa kwa huduma za Ofisi, Biashara pia inaeneo kubwa la kuegesha Magari
MAHALI ; IBWERA MJINI
------------------------------------
Inafaa kwa huduma za Ofisi, Biashara pia inaeneo kubwa la kuegesha Magari
MUUNDO WA NYUMBA
1.Nyumba ina vyumba Vitano
2.Chumba 1 ni masters bedroom
3.Sebule
4.Jiko
5.Public toilet
----------------------------------
HUDUMA ZA KIJAMII
-maji+umeme 24/7
-Nyumba Ipo barabarani
-----------------------------------
BEI ;Mazungumzo.
MAWASILIANO
-0765-552-233