Bukobawadau

SENDOFF YA VIOLENT ILABA ILIVYOFANA SANA!

Hongera familia ya Mzee Ilaba wa Kishanda kwa sherehe nzuri iliyo tukuka sana ni Send off ya Violent Iraba pamoja na reception ya Newly married Clifford Iraba to Catherine Rwiza tukio lililokwenda sambamba na Watarajiwa wetu Bi Edina Iraba na mwenzake Dr. Emma Mkonyi sherehe iliyolindima Jana Kijijini Kabulala Kishanda-Muleba .
Mwanadada Violent Iraba akikata Keki kwa tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake
 Naaam, hivi ndivyo anavyoonekana Mshereheshaji mahiri Mc Jane wa Kasibante wakati akitolea jambo ufafanuzi kwa maharusi watarajiwa
Na ni muhimu Muhimu kujuwa kupiga picha za mnato na zile zinazotembea ni taaluma mbili zinazorandana ila #Bukobawadau ndiyo Chaguo sahihi kwa picha za Mnato zenye muonekano wakupendeza kwendana na tekinolojia shukrani kwa wote wanaoendelaa kutumiani
 Mtanashati Clifford Iraba na mwenzake Catherine Rwiza wakati wakikata Keki maalum iliyopigwa kwa Vikolezo vya kila aina kutoka kwa mwanadada Vai_Cakes Bukoba
 Taswira Ukumbini nyumbani kwa familia ya Mzee Ilaba wa Kijijini Kishanda -Muleba
 Kamanda wa Polisi mstaafu, Kamishna Alfred Tibaigana na Mke wake ni kati ya waalikwa waliohudhuria tukio hilo
Kwa umakini na shahuku ya kufatilia kinajili wanaonekana wazazi wa Bi Violent Iraba ni Mzee Baltazal Iraba na Mama Violent pichani
 Taswira umati wa watu ukumbini
Wageni waalikwa  wakiwa wametulia na kufatilia tukio hili kupitia tv zilizofungwa Ukumbini
Wazazi wa Mtarajiwa Bi Violent ,pichani kulia ni Baba yake mzazi Mzee Baltazal Ilaba
Mshereheshaji wetu Mc Jane.
 Hongera sana Mama Violent Ilaba kwa kufanikisha shughuli hii
 Mtarajiwa Bi Violent Ilaba katika picha mbalimba kwa ajili ya kumbukumbu awali
 Picha zote na #Bukobawadau
 Hakika anameremeta...Bi Violent Ilaba
Matukio yanaendelea
 Violent mara baada ya kuweka wazi kuwa huyu ndiye mumewe mtarajiwa ni Bwana Burchard Pastory Kahungu.
 Endelea kufatilia mpaka mwisho mtiriko mzima wa matukio yaliyojiri katika Sendoff ya Bibie Violent Ilaba, shughuli ilipangwa ikapangika vyema kama utavyoweza kujionea kupitia #bukobawadau
Wazazi wa mtarajiwa wetu wakati wa Utamblisho
Shangazi yake Bibie Violent wakati wa utambulisho
 Utambulisho upande wa wazazi na jamaa zake na Bi Violent
 Utambulisha kwa wageni kutoka Moshi
 Watarajiwa kwa pamoja wakikata keki
Kwa keki babu kubwa Wasiliana na @vai_cakes kwa simu kuweka oda yako au whatsapp 0764302621. Wanapatikana Mjini Bukoba na bei yao ni nafuu sana

Pamoja na mambo mengine yote yanayo endelea kuna wakati, unataka mwisho wa siku uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043 tunapatikana Instagram @bukobawadau @bukobawadau

  Bi Violent Ilaba akitembea kuelekea kwa wazazi wake kukabidhi zawadi ya keki
 Bi Harusi mtarajiwa akikabidhi keki kwa wazazi wake
 Baba mkubwa akimpongeza kwa bashasha mwanae
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe hii akikabidhiwa zawadi ya keki kwa niaba ya wanakati

 Mambo ya Mc Jane katika kuwajiba....
 Mbinu mpya ya kufungua champagn kutoka kwa mshereheshaji Bi Jane wa Kasibante
Ukumbi ukiwaumeripuka kwa shangwe na ndelemo...
 Mtarajiwa Violent akitembea na kugonga cheers na wazazi wake.
 Bi Violent Ilaba kwa furaha na bashasha  akigonga cheers na wazazi wake
Ni mwendo wa Cheers kwa watu wote ukumbini..
 Bi harusi mtarajiwa Violent Ilaba akigonga cheers na wazazi wa mumewe mtarajiwa Burchard Pastory Kahungu wa mumewe jana wakati wa sherehe yake ya Sendoff iliyofanyika juzi nyumbani kwao Kishanda muleba.
 Ukumbini ni mwendo wa Cheers
 Taswira mbalimbali ukumbini
Muendelezo wa matukio ya picha
 Watu wakifatilia live kinachojiri ukumbini
 Burudani za hapa na pale zikiendelea ukumbini
  Hakika wamependeza ni Clifford Iraba na Catherine Rwiza

Picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu  Clifford Iraba na mwenzake Bibie Catherine Rwiza
Burudani kama kawaida
 Mzee Baltazal Ilaba wakati akitoa nasaha zake

 Mzee Ilaba akiwapongezi mara baada ya kutoa nasaha zake

 Mama anakabidhi zawadi na yenye thamani  zaidi ni Biblia
Mama Mzazi akikabidhi zawadi kwa binti yake
 #BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Utaratibu wa kutoa zwadi ukiendelea
Matukio wakati waalikwa wakiendelea kukabidhi zawadi zao kwa mtarajiwa pamoja na wazazi wake

Sehemu ya wanakamati ya maandalizi ya sherehe hii
Burudani mbalimbali ukumbini
Taswira mbalimbali eneo la tukio ni kutoka Kijijini Kabulala 'Rwamishenye' Kishanda -Muleba
 Ahsanteni sana wanakabula kutoka Jijini Mwanza
 Muendelezo wa matukio ya zawadi kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Muendelezo wa matukio ya picha
 Katika picha ya pamoja wanakati na watarajiwa wetu
 Zawadi kutoka Ujombani
 Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Hakika mmenoga aisee..!
 Wakuitwa  Mama Petty, huyu ni mdau wetu mkubwa ni mkazi wa Kishanda muleba, tunatambua uwepo wako mama.
  Muendelezo wa matukio ya picha ukumbini
Wakati mama mzazi akitoa neno
 Pamoja na mambo mengine yote yanayo endelea kuna wakati, unataka mwisho wa siku uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043 tunapatikana Instagram @bukobawadau @bukobawadau
 Pamoja na mambo mengine yote yanayo endelea kuna wakati, unataka mwisho wa siku uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo basi wasiliana nasi kupitia
Mc Mchakamchaka mkazi wa Kishanda akicheck na Camera yetu

Mwisho #BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043













Next Post Previous Post
Bukobawadau