Bukobawadau

ASKOFU KILAINI AONGOZA MAZISHI YA DIANA NYAMWIHURA NYUMBANI KIJIJINI KITOBO-KIZIBA

Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini jioni ya leo Jumamosi July 6,2019 ameongoza Umati wa Waombolezi katika Mazishi ya Mpendwa wetu Diana Leopord Nyamwihura yaliyofanyika Nyumbani kwao Kijijini Bubuga, Kitobo- Kiziba Wilaya ya Missenyi.
 Wanafamilia ya Marehemu Ta Leopold Rwenyembani Nyamwihura wa Kitoba wakiwa wameungana na ndugu na marafiki katika Ibada takatifu ya mazishi ya mpendwa wao Diana Nyamwihura
Ibada ya Mazishi ikiendelea..

 Dada Evelyn Baruti akiendelea kushiriki Ibada hiyo
 Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya mpendwa Diana Nyamwihura
 Taswira mbalimbali kutoka kijijini Bubuga-Kitobo Mazishi ya Mpendwa Diana Nyamwihura
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiriko mzima wa matukio ya picha mazisho ya Dada yetu mpendwa Diana Nyamwihura


Wanakwaya wakiendelea kuwajibika
Mzee Masabala na Mzee Mtafungwa wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Moendwa wetu Diana Nyamwihura yaliofanyika Kijijini Bubuga-Kitobo,Kiziba.
Umati wa waombolezi wakishiriki Ibada ya maziko ya Mpendwa wetu Diana Nyamwihura.
Ndugu wa familia katika nyuso zenye huzuni mkubwa.


Taswira mbalimbali Ibada ikiendelea...
 Mwalimu Hadia na Dada yake Hausa wakiwa wameongozana katika kutoa heshima za mwisho kwa rafiki yao mpendwa Diana Nyamwihura
 Pole sana Mama kwa kumpoteza rafiki yako kipenzi
 Nasi tunaimbea familia, ndugu pamoja na marafiki waweze kupita kipindi hiki kigumu na Mungu awape nguvu na ujasiri kwa kumpoteza mpendwa wenu
Ni Uchungu mkubwa kwa wafiwa kama unavyoweza kujionea pichani
 Wanafamilia wakiongozana katoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa Dada yao Diana Nyamwihura
Mzee Deo Deka akitoa heshima za mwisho kwa Mpendwa Diana Nyamwihura

 Poleni sana ndugu 


 Salaam za rambirambi zikitolewa kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi ukiendelea
Mzee Julius Caesar akitoa salaam zarambirambi kwa niaba ya marafiki wa familia ya Nyamwihura 
Ndugu Nkwama akitoa salaam za rambirambi

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu Diana Leonard Nyamwihula
 Christhoper Chichi Nyamwihura akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia

Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la kaburi.
Ni Safari ya mwisho ya Mpendwa wetu Diana Nyamwihura hee Mola tunakuomba uipokee roho yake kwa amani
Baba Askofu Methodius Kilaini akisimika Msalaba kwenye kaburi la Mpendwa wetu
Baba ASkofu kilaini akiongoza kuweka Shada la maua 
 Wanafamilia wakiendelea na Utaratibu wa kuweka maua kwenye kaburi
 Adv.Protas Ishengoma akielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mpendwa wetu Diana Leopold Nyamwihura.

 Bi Mercy na BiJeanifer murungi kichwabuta wakiweka shada la maua
 Mzee Lambart akiweka shada la maua

 Mzee Masabala akiweka shada ya Maua
 Wanafunzi Marafiki (wanafunzi) waliosoma nae sekondari ya Nyakato wakati huo wakiweka shada la maua.
 Kuweka mashada kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Muendelezo wa matukio wakati ndugu na wanafamilia wakiendelea kuweka mashada ya maua
 Muendelezo wa matukio ya picha msibani hapo
R.i.p Dada Diana Nyamwihura tunakuombea  Mwenyezi Mungu aipokee roho yake kwa amani.

 Eneo la kaburi mazishi yakiendelea
Bi Alice Theobard akiweka shada la maua
Bi Mercy akipata picha ya kumbukumbu mbele ya kaburi rafiki yake Diana Leopord Nyamwihura




Marafiki katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu.
 Katika hili na hili mara baada ya mazishi kukamilika.
 Mlangira Deo Rugaibula akibadilishana mawazo na Bwana 
 Ndugu na jamaa wakiendelea wakisaini kitabu cha Maombolezo cha mpendwa wetu Diana Nyamwihura
 MMzee Mandela akimfariji mrs Chichi Nyamwihula
Baadhi ya Waombolezaji wakiendelea wakisaini kitabu cha Maombolezo .
Katika kumfariji rafiki yao Christhoper Chichi Nyamwihura Wanafamilia wa Mzee Fredrick Baruti wa Burugo-Mugeza #Bukoba wanafika msibani hapo wakiongozwa na Kaka Harlod Baruti pichani kulia.
Wanafamilia wa Mzee Fredrick Baruti wa Burugo-Mugeza #Bukoba wakati wanafika msibani hapo kumfariji rafiki yao Christhoper Chichi Nyamwihura na kushiriki mazishi ya Dada Diana Nyamwihura.



Next Post Previous Post
Bukobawadau