Bukobawadau

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE WLBARD MWIJAGE KIJIJINI KITOBO LEO!

 Ni simanzi kubwa kwa Wanafamilia  ya Mzee Mwijage wa Kitobo - Kiziba hakika atakumbukwa kwa mengi hususani moyo wake wa kupenda watu na kusaidia jamii
Wanafamilia ya Mpendwa wetu Mzee Mwijage wakishiriki Ibada ya Mazishi ya mzazi wao  iliyofanyika katika kanisa Katoliki la Kitobo Wilayani Mishenyi Ijumaa ya leo July 19,2019 mazishi yaliyohudhuriwa na umati mkubwa wa waombolezaji
Kaizilege Mwijage mmoja kati ya watoto wa Mpendwa wetu Mzee Wilbard Mwijage
 Muendelezo wa matukio ya picha
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Dk. Deodorus Kamara pichani kushoto akibadilishana mawazo na Ndugu Muzzo mara baada ya mazishi ya mjomba wake Mzee Mwijage
Katika picha kwenye Jeneza lenye mwili wa mme wao mpendwa.
Sehemu ya Watoto 3 kati ya 12 wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Mwijage 
 Kaizilege Mwijage,William Mwijage na Mganyizi Mwijage katika picha ya pamoja kwenye Jeneza lenye mwili wa Baba yao mpendwa.
 Kaizilege Mwijage,William Mwijage na Mganyizi Mwijage katika picha ya pamoja kwenye Jeneza lenye mwili wa Baba yao mpendwa.
 Ndugu Nkwama pamoja na mzee Winston Baruti walipofika kumfariji kwa msiba huu Adv.Protas Ishengoma
 Picha ya pamoja baadhi ya watoto wa Marehemu Mzee Mwijage wakiwa na Wake zao.
 Wakati Wake wa Mpendwa wetu Mzee Wilbard Mwijage wakiungana na wanao kuuweka mwili vyema  kulingana na taratibu.
 Watoto wa Baba mmoja wakiwa na mama zao, hii ni moja kati ya picha iliyotupendeza.

 Mkwe wafamilia hii Tumaini Magila akiwa na mke wake Bi Violeth Mwijage
 Violeth na rafiki yake katika muendelezo wa picha za kumbukumbu mapema kabla ya Ibada ya Mazishi
Katika picha ya pamoja ni mabinti wa kuzaliwa na Mpendwa wetu mzee Wilbard Mwijage
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Mh. Balozi dk Kamala akisali kwenye kaburi la mjomba wake
 Mzee Kalokola Kati akiwa ameungana na Mbunge Balozi dk.Kamala katika Sala fupi kwenye jeneza ya mpendwa wetu mzee Mjage
 Taswira mbalimbali msibani hapo
Muendelezo wa matukio ya picha
Picha mbalimbali kwa wanafamilia wote kwenye jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Mzee Wilbard Mwijage
Muendelezo wa matukio ya picha kwa wanafamilia kwa ajili ya kumbukumbu
 Muendelezo wa matukio ya picha kwa wanafamilia kwa ajili ya kumbukumbu
Watoto wafamilia wakiwa na  Kaka zao wakubwa
 Muendelezo wa matukio ya picha kwa wanafamilia kwa ajili ya kumbukumbu
Picha zaidi na maelezo tembelea kurasa zetu za Instagram na facebook @bukobawadau
Muendelezo wa matukio ya picha kwa wanafamilia kwa ajili ya kumbukumbu #mazishiyamzeeMwijage
 Sehemu yaWaombolezaji  waliohudhuria msiba huo
Taswira muda mchache kabla ya kuelekea Kanisani kwa ajili  ya Ibada ya mazishi.
Jeneza likiwa limebebwa kuelekea kaburini
Kuelekea kanisani
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu mzee Wilbard Mwijage likiwa limebebwa  na waombolezaji kuelekea kanisani.
 Mmoja wa mabinti wa kuzaliwa na Mpendwa Wilbard Mwijage akiwa tayari kwa ajili ya kusoma neno la Bwana .
 Ndani ya kanisa wakati Ibada inaendelea
 Sehemu ya mapadre walioongoza Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu mzee Wilbard Mwijage
 Ni Simanzi na Vilio kwa watoto wa Marehemu Mzee Wilbard Mwijage
Wakati Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho unakaribia
 Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea
Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mzee wenu.
 Ndugu Ruga Winston Baruti mara baada ya kutoa heshima zake za mwisho kuuaga mwili wa Mpendwa mzee Wilbard Mwijage
 Bi Maisala Mama Parvin akitoa heshima zake za mwisho
 Bi Alice Theobard akitoa heshima zake za mwisho
Ibada ya mazishi ikiwa inaendelea

Picha kwa ajili ya kumbukumbu #MazishiyaMzeeMwijage
Ndugu Ishengo Bilikwija akibadilishana mawazo na mmoja wa marafiki wa familia aliyefika msibani hapa kuwafariji
Picha kwa ajili ya kumbukumbu #MazishiyaMzeeMwijage




Beda Mwijage,Gaula Mwijage na Willhekmina Mwijage
 Eneo la kaburi Setting ya kampuni ya Mazishi ya Smart funeral services
Mama akimlia mme wake mpendwa
Fuatilia mtiriko mzima wa picha eneo la tukio,picha zinajieleza..
 Simanzi kubwa kwa ndugu William Mwijage
 Mama Mjane katika huzuni mkubwa wakati jeneza likiingizwa kaburini
Tutamkumbuka Mzee wetu katika mambo mengi na yapo mengi ya kujifunza
 Ndugu Optay Henry na Kamala Kalumuna wakishiriki mazishi ya mzee wetu mpendwa Wilbard Mwijage
Picha zaidi na maelezo tembelea kurasa zetu za Instagram na facebook @bukobawadau
Picha zaidi na maelezo tembelea kurasa zetu za Instagram na facebook @bukobawadau
R.I.P Dad ,watoto wa mpendwa wetu wakiweka shada la maua


Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali

Picha zinajieleza ni utaratibu wa kuweka mashada ya maua

#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima mwenyezi Mwenyezi ampe pumziko la milele mzee wetu
Mganyizi Mwijage na familia yake wakiweka shada la maua

Advocates Protas Ishengoma akiweka shada la maua
Mzee Patrick Ishengoma akiweka shada la maua
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima mwenyezi Mwenyezi ampe pumziko la milele mzee wetu
Mama Kamala, Dada wa mpendwa wetu Wilbard Mwijage akiweka shada la maua
 Balozi Dk Kamala akiweka shada la maua kwenye kaburi la mjomba wake Mzee Wilbard Mwijage
Endelea kua nasi kwa matukio zaidi ya picha
Mh. Lwakatare Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini akiweka shada la maua
Neno la shukrani kutokakwa watoto wa Mzee Mwijage ni William na Wiibroad (Mganyizi) Mwijage.
 Ndugu Ruge Masabala akiwa msibani hapo kuwafariji wafiwa,pembeni yake ni Bi Maisala
 Kaka Ruge Masabala akiwafariji wafiwa

 Matukio ya awali kanisani wakati Mc Fraces Mtungi akitoa salaam za rambirambi
 Mwakili wa Bukoba town Group Frances Mtungi akiwa pole wafiwa
Pumzika Kwa Amani Mzee Wetu Wilbard Mwijage Bwana Alitoa Na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe. Amina.
Next Post Previous Post
Bukobawadau