Bukobawadau

MAPOKEZI YA HAJJATH LEILLAH SHERALLY YAFANA SANA

Umati wajitokeza kumpokea Hajjath Leillah Sherally  Mkazi wa Mtaa wa Haki 'One way' wakati akiwasili Mjini Bukoba akitoka Makkah katika ibada ya Hijja
 Hajjath Leillah Sherally  akiomba dua maalum ya shkrana kwa ajili ya watu walioshiriki mapokezi yake.
Wanafamilia wakiwa katika furaha ya kumpokea Hajjat Leillaj Sherally.
 Nje ya Uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Mji wa Bukoba ndugu na jamaa wakiwasili kwa ajili ya mapokezi ya Hajjath Leillah Sherally.
 Al Hajj Salum (Mawingo) Al Saqry kama mongozaji wa shughuli hii ya mapokezi ya Hajjath Leillah Sherally,akitolea jambo ufafanzi.
 Bi Sofia Hamad akipata kumbukumbu za tukio hili kupitia simu yake ya kiganjani
 Sheikh Khalid Sadick na Hajjath Zahara Datan wakiwa Uwanjani hapo kwa ajili ya shughuli ya mapokezi.
Umati wa watu wakimlaki hajjath Leillhah Sherally mara baada ya kuwasili mjini Bukoba, kutokea  Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza nguzo muhimu ya Kiislam.
Ni muendelezo wa matukio ya picha, Mapokezi ya Hajjat Leillah kutoka Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza nguzo muhimu ya Kiislam.
Baadhi ya Wamafamilia katika shughuli ya mapokezi ya Hajjath Leillah Sherally  Mkazi wa Mtaa wa Haki 'One way' wakati akiwasili Mjini Bukoba akitoka Makkah katika ibada ya Hijja
 Msafara wa magari ukitokea Uwanja wa Ndege kuelekea Viwanja vya Jaffar kwa ajili ya sherehe (Maulidi) ya kumpokeza Hajjat Leillah Sherally.
 Nyamkazi Road (Pepsi)
 Barabara ya Kahozo msafara ukitokea uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Katikati ya Viunga vya Mji wa Bukoba msafara wa mapokezi ya Hajjath Leillah Ukiendelea
Sheikh Kakwekwe akitoa neno katika hafla ya mapokezi ya Hajjath Leillah.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta akiongea katika hafla ya mapokezi ya Hajjath Leillah Sherally.
 Ndugu Optaty Henry (Katibu) katika harakati za mapokezi ya Hajjath Leillah Sherally  wa Mjini hapa
Hajjat Doto (Mama Rby) Hajjath Mwajab na Mama Sadath pichani
 Hakika mmependeza ndugu.
 Mzee Masasi katika picha ya pamoja na ndugu wa familia ya Hajjath Sherally
 Ustaadh Mahafudh Balekao akiwa amejumuika na watu wenfine katika hafla ya kumpongeza Hajjath Leillah
 Muendelezo wa matukio ya picha
 Burudani ya Madarasa kutoka Muleba ikiendelea kuchukua kasi
 Bwana Juvenary  mara baada ya kuwatunza Vijana wa Madarasa kutoka Muleba
 Al Dufufu kutoka Kansenene wakichukua kasi
 Burudani ya Dufu kutoka Kansenene ikitumbuiza katika viwanja hivi vya Shule ya Sekondari Jaffary ilipofanyika hafla /Maulid ya kumpongeza Hajjath Leillah Sherally


 Muendelezo wa matukio ya picha
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka viwanja hivi
 Taswira mbalimbalimbali kutoka viwanja vya shule ya Sekondari Jaffary, mapokezi ya Hajjath Leillah Sherally
 Mtaalam Ramadhan Kambuga pichani
Bi Asha Bablia akifanya mawasiliano
 Kifuatacho ni kupata msosi safi ulioandaliwa  kwa watu wote waliojumuika katika hafla hiyo
Mwisho #Bkobawadau tunakupongeza Hajjath Leillah kwa kukamilisha Ibada ya Hijja.

Next Post Previous Post
Bukobawadau