Bukobawadau

MAHAFALI YA TANO KIDATO CHA NNE 2019 SHULE YA WASICHANA JOSIAH YAFANA SANA..!

 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa mgeni Rasmi katika sherehe za Mahafali ya tano Kidato cha nne 2019 Shule ya Wasichana Josiah iliyopo Manispaa Bukoba,zilizofanyika yaliyofanyika Sep 28,2019
Josiah ni shule nzuri ya Bweni kwa wasichana inayofanya vizuri Kitaaluma Kimkoa na kitaifa pamoja na kinidhamu hakika mzazi hutojutia kutoa ada yao.
Wimbo wa taifa ukiongozwa na Wanafundi wa Shule ya wasichana ya Josiah na kikundi cha wapiga tarumbeta
Wanafundi wa Shule ya wasichana ya Josiah pamoja na wapiga tarumbeta wakiongoza Wimbo wa Taifa
Ratiba ikiendelea kwa burudani mbalimbali
 Meza kuu Viongozi wa Bodi ya shule ya wasichana ya Josiah wakiwa na Mgeni rasmi wa Mahafali hayo Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa 
Burudani ya Ngoma ya hasili ya Kihaya ikitawala jukwaa mwanzoni mwa Mahafali ya Tano Kidato cha nne 2019 Shule ya wasichana Josiah iliyopo Manispaa Bukoba.
Taswira ukumbini Mahafali ya Kidati cha nne 2019 Shule ya Wasichana  Josiah.

Baadhi ya waalikwa na wazazi wakifatilia kinachojiri ukumbuni

Sehemu ya waalikwa pichani
Mwalimu mkuu wa taaluma akiteta jambo na Mkurugenzi wa Shule ya Wasichana ya Josiah Mzee Masabala
 Mgeni rasmi wa Mahafali hayo Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa akitoa neno.
 Ndugu Nazir Karamage Mgeni mwalikwa akitoa neno katika mahafali hayo
Wahitimu wa Kidato cha nne wakitoa burudani
Burudani ikiendelea kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne.
 Kivutuo kikubwa ni Wakati wanafunzi wa kidato cha tatu wakitoa burudani ya Wimbo wa Kihindi
 Nyota wa Siku ni Nasra Hamza mwanafunzi wa Kidato cha tatu shule ya Wasichana Josiah alipoweza kuzikonga mioyo ya watu wengi kwa umahiri mkubwa kwa kuimba na kucheza Wimbo wa Kihindi
 Wanafunzi hao wakizi kuonesha umahiri na Vionja vinavyoleta mvuto kwa Waalikwa na Wazazi waliohudhulia mahafali hayo
Burudani ikiendelea kwa umahiri na hisia kubwa.
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Wasichana ya Joasiah akitoa taarifa ya maendeleo ya shule hiyo inayofanya vizuri sana Kitaaluma na kimidhamu
 Mwendelezo wa matukio ya burudani
 Burudani mbalimbali zikiendelea kutoka kwa wanafunzi wa shule hiyo
 Zawadi kutoka kwa wanafunzi wa hitimu wa kidato cha nne 2019 shule ya wasichana ya Josiah 
 Kwa namna ya pekee Ukumbi ukiwaumeripuka kwa shangwe na ndelemo wakati mwalimu mkuu anakabidhiwa zawadi kutoka kwa wanafunzi hao.
 .Ukumbi unaripuka kwa shangwe na ndelemo wakati mwalimu mkuu wa shule ya Wasichana ya Josiah akikabidhiwa zawadi
 Muendelezo wa matukio ya picha
 Wanafunzi wa kidato cha nne wakiendelea kukabidhi zawadi maalumu kwa watumishi na walimu wa shule hiyo.
Wanafunzi wa kidato cha nne wakiendelea kukabidhi zawadi maalumu kwa watumishi na walimu wa shule hiyo.
Mgeni rasmi Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa  kiwa tayari kupokea zawadi iliyoandaliwa na wanafunzi wahitimu wa kidato cha nne 2019 shule ya Wasichana Josiah
 Muda mchache kabla ya kutoa kukabidhi zawadi na Vyeti kwa wanafunzi wahutimu wa kidato cha nne 2019 Shuleni hapo
 Mgeni rasmi wa Mahafali hayo Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa akikabidhi zawadi kwa mmoja wa wahitimu hao
 Utaratibu wa kukabidhi zawadi ukiendelea
 Utaratibu wa kukabidhi zawadi na vyeti kwa wanafunzi ukiendelea
 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa  katika picha na Mzee Rutabingwa mwenyekiti wa Bodi ya shule ya wasichana ya Josiah.
 Mr.Seif Mkude Mkurugenzi wa shule ya Karume akitoa neno.
 Pongezi za hapa na pale zikiendelea...
 Bwana Hassan Ngemera  katika picha ya pamoja na vijana wake..
 Risala kutoka kwa wanafunzi wahitimu wa kidato cha nne 2019 shule ya Wasichana Josiah
 Mwakilishi kutoka Benk ya CRDB akitoa neno
 Mwakilishi wa Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Josiah akitoa neno
Mwenyekiti wa Bodi ya hule ya Wasichana ya Josia Mzee Rutabingwa akitoa neono
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Dkt. Abednego Keshomshahara akiongoza na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa mgeni Rasmi katika sherehe za Mahafali ya tano Kidato cha nne 2019 Shule ya Wasichana Josiah


Next Post Previous Post
Bukobawadau