SIMANZI MAZISHI YA WILLIAM M.SIMON -KASHURA BUKOBA
Bukoba-Vilio na simanzi vimetawala katika Mazishi ya Mpendwa wetu William Simon yaliyofanyika jana Sep 30,2019 nyumbani kwa familia yake maeneo ya Kashura Manispaa Bukoba
Pata mtiririko mzima wa matukio ya picha yaliyojiri katika mazishi ya mendwa wetu William Simon
Mungu hawaongoze wanafamilia kwenye kipindi hiki Kigumu
Wasifu wa Marehemu ukisomwa na mtoto Mkubwa wa mpendwa wetu William Simon
Utaratibu wa kutoa Salaam za rambirambi
Salaam za rambirambi kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi ukiendelea.
Neno la shukrani kwa niaba ya familia likitolewa na Mzee Robart ambaye ni Kaka mkubwa wa Marehemu William Simon
Taswira mbalimbali utarati wa Ibada na maziko ukiendelea mahala hapa
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu William Simon
Mzee Pius Ngeze akishiriki Ibada ya Mazishi hayo
Poleni Sana Mama, Mwenyezi Mungu hawaongoze kwenye kipindi hiki Kigumu.
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Mzee William Simon wa Kashura Bukoba.
Viongozi wa Kiroho wakiongoza Ibada ya mazishi wa Marehemu mpendwa wetu William M.Simon
Mchungaji akiongoza Ibada ya mazishi ya Marehemu William Simon yaliyofanyika jana nyumbani kwake Kashura Manispaa Bukoba
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya mpendwa wetu William Simon
Mazishi ya mpendwa wetu William Simon,Muendelezo wa matukio ya picha
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamehudhuria mazishi ya mpendwa wetu William Simon
Wanafamilia wakitoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao
Mama Mjane wa Marehemu William Simon wakati wa kutoa heshima zake za mwisho
Muendelezo wa matukio ya picha
Pole sana Eva, pole sana Mwl. George kwa kumpoteza kaka yenu mpendwa
Vilio na Simanzi wakati watoto wa marehemu William Simon wakitoa heshima za mwisho
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho kwa Baba yao mpendwa
.#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele mzee wetu,Kaka yetu
Jeneza likifungwa mara baada ya utaratibu wa watu wote kutoa heshima za mwisho
Dada Eva mdogo wa marehemu William Simon katika maandalizi ya awali kabla ya kuelekea eneo kaburi
Mwenyezi Mungu ampe pumziko na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Ameen.
Haruna Goronga na Majid Kichwabuta katika Mazishi hayo.
Mama Mjane wa Marehemu akielekea juweka shada la Maua
Mjane wa Marehemu akiweka Shada la maua kwenye kaburi la mme wake mpendwa
Watoto wa kuzaliwa na Marehemu wakiweka shada la maua
Mwalimu George kaka wa marehemu William Simon akiweka Shada la maua
Kaka Mkubwa wa Marehemu akiweka shada la maua
Mwakilishi wa wajomba wa marehemu akiweka shada la maua
Marehemu Mzee William M. Simon pichani enzi za Uhai wake
Muonekano wa Kaburi la Mpendwa wetu William Simon
Muendelezo wa matukio ya picha mara baada ya mazishi ya mpendwa wetu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu mara baada ya mazishi hayo yaliyofanyika jana jumatano
.#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele mzee wetu,Kaka yetu