Bukobawadau

UMATI WAMZIKA MZEE HUBERT RWEHUMBIZA

 Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu mzee Hubert Rwehumbiza yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bwera Buyango siku ya Jana Jumanne Oct 22,2019 na kuhudhuriwa na watu wengi
 Umati wa Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mzee Hubert Rwehumbiza
Pata mtiririko wa matukio ya picha katika Ibada ya Mazishi ya Mzee wetu Hubert Rwehumbiza.
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiendelea na Ibada ya maziko
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Mzee Hubert Rwehumbiza.

 Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya Mpendwa wao
Ndugu jamaa na marafiki wa mpendwa wetu wakishiriki Ibada hiyo
 Wanakwaya wakiimba kwenye Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Mzee Hubert Rwehumbiza
 Muendelezo wa matukio ya picha wakati Ibada inaendelea
 Deo  Mabona Rwehumbiza ambaye ni mtoto mkubwa wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Mzee Hubert Rwehumbiza
Mungu aitie nguvu familia Mzee Hubert Rwehumbiza na ampokee mpendwa wetu,ampuzishe kwa amani
Mungu aitie nguvu familia Mzee Hubert Rwehumbiza na ampokee mpendwa wetu, ampuzishe kwa amani
Taswira mbalimbali katika picha Mazisi ya mpendwa wetu mzee Hubert Rwehumbiza
Muendelezo wa matukio ya picha
 Wasifu wa Marehemu mpendwa wetu Mzee Hubert Rwehumbiza Ukisomwa.
 Neno la shukrani kwa niaba ya familia ya Mpendwa wetu Baba yetu,Mzee Hubert Rwehumbiza


Kuelekekea kutoa hesima za mwisho (last respect)
Watu wengi kutoka maeneo mbalimbali wameweza kuhudhuria mazishi hayo, yaliyofanyika kijijini Bwera kata Buyango Wilayani Mishenyi
 Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea.
Heshima za mwiso kwa mzee wetu,baba yetu Hubert Rwehumbiza
 Mama Mjane wa Marehemu Mzee Hubert Rwehubiza wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wake.


 Simanzi kubwa kwa Bi Jovitha Njunwa wakati wakutoa heshima za mwisho kwa Baba yake Mdogo Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza
Bi Jovitha Njunwa mara baada ya kutoa heshima za mwisho


Mzee Kashondwa rafiki mkubwa wa Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza akitoa heshima zake za mwisho.
 Mzee Balyagati akitoa heshima zake za mwisho
Poleni sana wanafamilia sisi tulimpenda,mungu amempenda
Pole sana Mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki cha Majonzi


Pole sana Bullet Rwihinda kwa kumpoteza mjomba wako
Raha ya milele umpe Ee Bwana; Na Mwanga wa Milele umwangazie, apumzike kwa amani mzee wetu ; AMEN!!
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza likiwa kwenye kaburi
 Wanafamilia wakiongozwa na Bi Alice Rwehumbiza ambaye ni mjane wa marehemu katika zoezi wa kuweka udondo kwenye kaburi
Bi Alice Rwehumbiza mjane wa marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza akiweka shada la maua


Bwana amwagazi mwanga wa milele R.I.P Dr Hubert
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Padre akiweka shada la maua
Ndugu jamaa na marafiki wa familia wakiendelea kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa wetu
Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza Bwana amwagazi mwanga wa milele R.I.P Dr Hubert


MAPOKEZI UWANJA WA NDEGE BUKOBA


Pata matukio ya picha kutoka Uwanja wa ndege Bukoba mpaka Kijijini Bwera nyumbani kwa mpendwa wetu Marehemu Mzee Hubert
 Ndege ya Shirika la Ndede la Air Tanzania aina ya Bombardier Q400-8 ikiwasili Mjini hapa
Pata matukio ya picha kutoka Uwanja wa ndege Bukoba mpaka Kijijini Bwera nyumbani kwa mpendwa wetu Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza
 Nje ya uwanja wa ndege mjini Bukoba baadhi ya waombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya mapokezi ya Mwili wa Mpendwa wetu mzee Hubert Rwehumbiza
Ni Simanzi na majonzi kwa watu wote kuwasili kwa mwili wa Marehemu Mzee Hubert Rwehubiza
 Vilio na machozi vikitawala kwa ndugu jamaa na marafiki


Muendelezo wa Matukio ya picha kutoka Airport Mjini Bukoba 
 Pole sana Mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki cha Majonzi
 Pole sana Mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki cha Majonzi
 Mara baada ya Jeneza lenye mwili kuwasili Mjini Bukoba tayari kwa safari kuelekea kijijini Bwera Buyango Wilayani Missenyi
  Mara baada ya Jeneza lenye mwili kuwasili Mjini Bukoba tayari kwa safari kuelekea kijijini Bwera Buyango Wilayani Missenyi
Muendelezo wa matukio ya picha, Mapokezi ya Mwili wa Mpendwa wetu Mzee Hubert Rwehumbiza
Taswira mbalimbali nyumbani kijijini mara baada ya mwili kuwasili
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Hubert Rwehumbiza


Muendelezo wa matukio ya picha nyumbani kijijini Bwera Buyango
MWISHO
Next Post Previous Post
Bukobawadau