MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA 'RUGOYE DAY' DEC 28,2019 KATIKA KIJIJI CHA KASHAMBYA GERA
Katika picha ya pamoja baadhi ya wanachama wa Lugeye Social Club walioshiriki sherehe za 'Lugoye Day ' zilizofayika ndani ya kata ya Gera,Nyumbani kwa Ndugu Charles Mberwa Ishemuhabura tarehe 28/19/2019 sherehe zilizotanguliwa na Ibada ya shukrani.
Kwa muda mrefu sasa WanaLugoye wameendelea kuchangia maendeleo kwenye kata husuka kila wafanyapo mkutano wao wa kufunga mwaka wameendelea kuacha alama katika taasisi mbalimbali jambo lisilotiliwa shaka kabisa na kwa sasa Siku WanaLugoye na Umoja wao wanasikika na kupongezwa nje na ndani ya Tanzania.
Meza kuu katikati ni Mh. Diwani Bitegeko wa Kata ya Gera.
Katika picha ya pamoja familia ya Ndugu Charles Mberwa Ishemuhabura wa Kashambya Gera mwenyeji wa hafla ya Lugoye Day 2019.
Leo Dec28,2019 Lugoye Social Club wameendelea kuacha alama kwa kutoa mashine ya kudurufu (photocopy mashine )ya kisasa kabisa kwa shule ya Sekondari Gera.
Moja kwa moja tushiriki matukio ya awali ya Ibada shukrani iliyofayika nyumbani kwa familia ya ndugu Mberwa wa Kijijii Kashambya Gera
Mr &Mrs Machume wakiwasili kwa ajili yakushiriki Ibada hiyo
Ibada hiyo ya shurani sambamba na kumuombea Mama wa Familia ya mzee Mberwa Ishemuhabura imeongozwa na Fr.Kamugisha wa Parokia ya Minziro
Padre akiendelea kutoa mahuburi
Wanafamilia wakiedelea kushiriki Ibada
Ibada ikiendelea kama anavyoonekana ndugu Chief pichani kushoto akiwa ameungana a wanafamilia wengine.
Mr & Mrs Mberwwa pichai wakati Ibada ikiendelea ni Ibada maalumu ya Shukrani kwa familia
Mlangila Focas Lutinwa akishiriki Ibada ya Shukrani iliyofanyika mapema nyumbani kwa familia ya Mr &Mrs Mberwa Kashambya Gera
Muendelezo wa matukio Ibada ikiendelea
Endelea kuwa nasi kwa mtiriko mzima wa matukio ya picha sherehe ya Lugoye Day Gera 2019
Wanakwaya wakiwajibika wakati wa Ibada ya Shukrani
Wanafamilia wakiwa tayari kutoa vipawa vyao katika Ibada hiyo,
Padre akinyunyuzia maji ya baraka kweye ya makazi mapya ya familia hii.
Wanafamilia katika picha ya pamoja na Padre Kamugisha mara baada ya tukio ya kutabaruku Nyumba mpya ya makazi ya Ndugu Charles Mberwa.
Wanafamilia katika picha ya pamoja na Padre Kamugisha mara baada ya tukio ya kutabaruku Nyumba mpya ya makazi ya Ndugu Charles Mberwa.
Wanafamilia katika picha ya pamoja na Padre mara baada ya tukio ya kutabaruku Nyumba mpya ya makazi ya Ndugu Charles Mberwa.
Ahsante Sana Ndugu Mberwa kwa kuendelea kutuamini na kutushirikishs, timu nzima ya Bukobawadau iakutakia kheri na Wanalugoye nyote ya Mwaka Mpya 2020
Muendelezo wa matukio ya picha eneo la tukio
Hongera sana Luguye kwa jitihada zenu
Mwenyekiti wa Lugoye Social Club akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Viongozi wa kamati za maendeleo ya Kata za Ishunju,Gera na Ishozi
Muendelezo wa matukio ya picha wakati Ndugu Charles Mberwa akitoa utambulisho na neno la shukurani kwa wageni walioshiriki hafla hiyo
Shukrani za dhati kabisa zikielekea kwa mke wake mama watoto wake.
Familia ya Mr &Mrs Charles Mberwa.
Picha ya pamoja familia ya Mr &Mrs Charles Mberwa Ishemuhabura.
Wakati munada wa bidhaa mbalimbali ukiendelea
Sherehe yetu ikiendelea kuchukua kasi
Zawadi kutoka vikundi mbalimbali vya kina mama
Zawadi maalumu kwa Mrs & Mrs Focas Mulangira Lutinwa na Familia ya Mr &Mrs Mberwa kwa juhudi zao za kuipigania Kata ya Gera.
Burudani ya Show
Mulangira Ben Kataruga akisalimiana na ndugu na jamaa
Mulangira Kataruga alipokutana na Kiongozi Padre Mboneko
Katika picha Wanamama Wa Lugoye Women Group kwa siku ya leo wamekabidhi mifuko 50 ya Cement kuchangia Ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari Gera yenye thamani ya Tsh 1,000,000 /=
Kwa kuzingatia Changamoto zinazo wapata mabiti katika kupata malazi na kuwaepusha na changamoto mbalimbali zikiwemo mimba za utotoni;Lugpoye Women Group Group wameendelea kujikita katika kuongoza nguvu ya ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari kata ya Gera,Hivyo mwaka huu wanatoa mifuko ya Cement ipatayo 50 yenye thamai ya milioni moja .
Adv. Buberwa pichani kulia akifuatilia kinachojiri
Muendelezo wa matukio ya picha sherehe ya kufunga Mwaka ya Lugoye Day
Sasa tunapata na kuipokea Sala ya Chakula kilichoandaliwa katika hafla hii.
WanaLugoye pichani
Burudani kabambe kutoka kwa kikundi cha Wawindaji
Mweyekiti akitoa historia ya Lugoye Social Club tangu kuanzishwa kwake mpaka hivi leo
Ndugu Wince Mwenyekiti wa Lugoye Social Club akitoa neno.
''Elimu ni Ufunguo wa Maisha ya Sasa na Badae na pia Tanzania itajengwa na Sisi Wenywe'' huu ni msema wa Logoye Women Group
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Gera Kashambya sherehe ya Lugoye Day
Peter 'Tosh' Rwechungura pichani kulia
Hotuba ya Lugoye Women Group katika maadhimisho ya Sherehe za mwaka tarehe 28/12/2019 ikisomwa na Mwenyekiti wa Umoja huo Bi Halima Nsubuga
Lugoye Women Group ni akina Mama wapatao 19 ambao wameolewa katika Kata za Ishozi,Gera na Ishunju na makazi yao na shughuli zao zikiwa jijini Dar.
Matendo ya huruma kwa Lugoye Women Group yalianza mwaka 2010 kwa kuangalia mahitaji ya msingi kwa zao walioko nyumbani Mkoani Kagera na mpaka hii leo Lugoye Women Group wameweka alama katika taasisi mbalimbali na kuwa sehemu ya Mchango kwa walionufaika katika kutimiza ndoto zao.
Lugoye Women Group kwa kutambua Changamoto kubwa katika kutoa Elimu kwa watoto wetu Tanzania ndio maana mara kwa mara misaada yao inalenga inalenga mashuleni ili kuungana na jitihada mbalimbali za Serikali na Asasi zisizokua za kiserikali katika kujenga Taifa ambalo linapata Elimu Bora kwa sasa na badae.
Kwa kuzingatia Changamoto zinazo wapata mabiti katika kupata malazi na kuwaepusha na changamoto mbalimbali zikiwemo mimba za utotoni;Lugpoye Women Group Group wameendelea kujikita katika kuongoza nguvu ya ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari kata ya Gera,Hivyo mwaka huu wanatoa mifuko ya Cement ipatayo 50 yenye thamai ya milioni moja .
Pongezi kwa Lugoye Woman Group mara baada ya kutoa na kukabidhi hotuba yao
Mh.William Rutta Diwani wa Kata ya Ishozi akitoa neno
Mh. Msafiri Nyeme Diwani wa kata Ishuju Wilaya Missenyi
Mgeni Rasmi akitoa neno
Furaha kubwa kwa Wanalugoye wakati burudani ya ngoma ikiendelea
Burudani ikiendelea
Ngoma ya buhaya ikiendelea kuchukua kasi ukumbini
Mnada ukiendelea....
Mnada wa bidhaa mbalimbali zilizoandaliwa na vikundi vya kina Mama ukiwa unaendelea
Mnada wa bidhaa mbalimbali zilizoandaliwa na vikundi vya kina Mama ukiwa unaendelea
Taswira mbalimbali wakati sherehe ikiendelea