MWILI WA BABA ASKOFU MUSHEMBA WAAGWA
Watoto wa familia ya Marefu Baba Askofu (Mstaafu) wa KKKT Dkt. Samson Mushemba wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi #Bukoba wakiendelea kushiriki Ibada maalumu ya siku ya kutoa heshima ya mwili kwa Mwili wa mpendwa Baba yao.
Mchungaji Kabugumira (kushoto) naRev Modest Pesha pichani kulia
Heshima za mwili mwili wa Baba Askofu Mushemba,utaratibu ukiendelea...
Jeneza lenye mwili wa Baba Askofu Mushemba
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Masharibi, Askofu Abelnego Keshomshahara akitoa heshima za mwisho Mwili wa Askofu Mushemba
Muendelezo wa matukio ya picha ....
Rev Kigembe na Dean Jackson Mushendwa wakitoa heshima za mwili,mwili wa Askofu Mushemba
Wajukuu wa Baba Askofu Mushemba wakitoa heshima za mwisho
Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea
Adv.Steven Byabato pichani,akishiriki Ibada ya Kuaga mwili wa Baba Askofu Mushemba
Katibu Mkuu wa wa Dayosiso Rev Kigembe akitolewa jambo ufafanuzi
Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha
Mkono wa pole kutoka kwa mwakilishi wa Watoto wa Wachungaji..
Mwakilishi wa Umoja wa Watoto wachungaji akikabidhi rambirambi kwa familia..
Matukio zaidi ya papo kwa papo yanapatikana katika kurasa zetu za facebok na Instagram..
Muendelezo wa matukio ya picha
Muendelezo wa matukio ya picha
Mwili wa Baba Askofu leo utapelekwa katika eneo alilozaliwa Kijijini Ruhanda - Kamachumu Wilayani Muleba
Msafara ukielekea Nyumbani Busimbe Mjini Bukoba.....na baadae utaelekea katika eneo alilozaliwa Kijijini Ruhanda - Kamachumu Wilayani Muleba
Taswira wakati Msafara ukielekea nyumbani kwa Marehemu Askofu Mstaafu Mushemba,kabla ya kuelekea kijijini kwao Kamachumu.....
Mapokezi ya Jeneza lenye Mwili wa Baba Askofu Samson Mushemba,Kijijini Kamachumu,Kanisa la ELCT.
Nje ya Kanisa Kuu Kamachumu mara baada ya msafara kuwasili...
Matukio yanaendelea...