MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA KUAGWA MWILI WA MZEE MKAPA UWANJA WA UHUR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Iddi ( wa pili kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) wakati walipokagua Maandalizi
ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa
kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Julai 25, 2020
ambapo kutafanyika Ibada ya kumwombea marehemu na kuaga mwili kitaifa
kuanzia kesho. Wa nne kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mohammed Abood na kulia
ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu , Benjamin William Mkapa wakati alipokagua maandalizi ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Julai 25, 2020 ambapo kutafanyika Ibada ya kumwombea marehemu na kuaga mwili kitaifa kuanzia kesho. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)