A FINAL GOODBYE FOR FRANCIS ISHENGOMA RWECHUNGURA
Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura iliyofanyika nyumbani kwao kijijini Kashambya Gera Wilayani Missenyi ikiongozwa na Baba Askofu Rweyongeza.
Wanafamilia ya mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi hayo.
Wanafamilia...
Askofu Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga akiongoza Ibada takatibu ya Mazishi ya mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura
Neno la Bwana likisoma na Innocent Francis Rwechungura
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Francis Ishengoma Rwechungura
Marehemu Francis Ishengoma Rwechungura pichani enzi za uhai wake
Umati wa waombolezaji wakishiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Francis Ishengoma.
Muendelezo wa matukio ya picha
Salaam za rambirambi kutoka Rubya hospital, kituo anachofanyia kazi kijana mkubwa wa Marehemu Francis Ishengoma Rwechungura,Innocent Rwechungura
Wasifu wa Marehemu Francis Ishengoma ukizsomwa na Dr Conso Banda ambaye ni pacha wake
Jeneza likiingizwa kaburini
Dr.Conso Banda katika picha ya pamoja na watoto wa pacha wake mpendwa francis Ishengoma Rwechungura.
Watoto wa kuzaliwa na mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura katika picha ya pamoja na mama yao mzazi.
Mka Mwana mke wa Innocent Francis
Bi Murungi na Dr. Conso katika picha ya pamoja
Bi Murungi Badru Kichwabuta na Mama Merry Kalikawe pichani
Ndugu Sued Kagasheki akimfariji rafiki yake Paul Rwechungura pichani