UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA GENEROZA MUGYABUSO KIJIJINI BUKWALI
Muonekano wa Kaburi la Mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabusa alifariki tarehe tarehe 17/11/2020 huko mkoani Shinyanga alipokuwa akipata matibabu na mazishi yake yamefanyika Nov 20,2020 Nyumani kwake kijijijini Bukwali- Kashenye Wilayani Missenyi.
Wanafamilia na waombolezaji wakiwa katika hali ya simanzi kufuatia kifo cha mpendwa wao Ma Generoza Mugyabuso
Mama Justice Rugaibula,Ma Grace akiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabuso.
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Generoza Mugyabuso
Mlangila Justice Rugaibula akifatilia mahubiri ya Paroko wakati wa Ibada takatifu ya Mazishi ya Ma Generoza Mugyabuso ambaye ni shangazi yake
Neno la shukrani kutoka kwa wanafamilia
Rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Muendelezo wa matukio ya picha
Taswira mbalimbali wakati mazishi yanaendelea
Nasaha kwa watoto wa mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabuso
Bwana Laurence Barongo,Harlod Barudi na Rama ni sehemu ya waombolezaji walioweza kushiriki mazishi hayo
Eneo la kaburi misa ya mazishi ikiwa inaendelea
Muda mchache kabla ya Geneza kuingizwa kwenye kaburi
Mmoja wa watoto wa Marehemu Ma Generoza Mugyabuso akiweka udongo kwenye kaburi.
Bwana Abdallah akiwa ameungana na waombolezaji wengine katika mazishi ya mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabusa yaliyofanyika Siku ya Ijumaa nyumbani kwake Kijijini Bukwali-Kashenye
Utaratibu wa kuweka Udongo kwenye kaburi ukiwa unaendelea
Utaratibu wa kuweka udongo kwenye kaburi ukiwa unaendelea....
Eneo la kaburi mazishi yakiendelea
Taswira mbalimbali wakati Mazishi ya mpendwa wetu yakiendelea..
Dada Stella na Mlangila Juctice Rugaibula wakiweka shada la maua kwa pamoja
Wanafamilia wa kiendelea na utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa wao
Poleni sana wanafamilia
Mzee Kabaka pichani rafiki wa familia
Muendelezo wa matukio ya picha Msiba wa Ma Generoza Mugyabuso
Taswira mbalimbali wakati Ibada ya mazishi ikiendelea
Mkubwa Justice na Swaiba wake Afidhi Karugira pichani
Waombolezaji wakiendelea kumfariji rafiki yao Mlangira Justice Rugaibula
Mlangira Justice akibadilishana mawazo na waombolezaji kadhaa wa kadhaa waliofika kumfariji kufuatia kifo cha shangazi yake Ma Generoza Mugyabuso