UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA TOMAIDES (TOM) MWELA NYUMBANI KWAO MULEBA
- Mapema kabla ya Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Tomaides Mwela kufanyika,Salaam za rambirambi zikiendelea kutoka katika makundi mbalimbali ya kijamii,wanaukoo na marafiki wa karibu wa familia
- Ndugu wa familia ya mpendwa wetu Tomaides wakitoa historia kidogo ya mpendwa wetu,mbele ya Camera yetu jambo Mama Merry Rwabizi Shemeji wa Mpendwa wetu Tomaides Mwela.Kaka Mkubwa wa Marehemu Tomaides Mwela,Ndugu Mushobozi pichani akitolea jambo ufafanuziNdugu Mulokozi wa pili pichani kutoka kushoto pichani akiendelea kushiriki mazishi ya kaka yake mpendwa Tomaides MwelaSehemu ya marafiki wa karibu wa familia ya Marehemu Tomaides MwelaMichael Basota,katibu wa UWAKA Parokia ya Kinyerezi Jimbo katoliki Dar es Salaam akitoa salaam za rambirambi
- Mr &Mrs Daud Kibogoyo pichani
- Mlangila Ben Kataruga akitoa mkono wa pole kwa mama Mjane wa Marehemu Tomaides Mwela
- Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha na maelezo
- Mlangila Optaty Henry na Mlangila Ben Kataruga pichani
- Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Tomaides Mwela
- Utambulisho kwa wana kinyerezi
- Mzee Mushoboji Kaka wa Marehemu Tomaides akiwajibika
- Mama mzazi wa Marehemu Tomaides Mwela akiweka udongo kwenye kaburi
- Watoto wa Marehemu Tomaides wakiweka shada la maua
- Wawakilishi wa Kinyerezi Family wakiweka shada la maua, pichani yupo Michael Masota na Mlangila Ben Kataruga
- Muendelezo wa matukio ya picha
- ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA NA MAELEZO
- Aneth Kadigi Mrs Daudi Kibogoyo
- Kaka Alex Mtiganzi akiwafariji wafiwa...
- ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA NA MAELEZO