Bukobawadau

.... ADHIMISHO YA KUMBUKUMBU KIFO CHA OMULANGILA LAMBERT LWEIMBAO -BUGANDIKA

 Karibu katika adhimisho la Misa takaatifu maalum kwa ajili ya Shukran na kumuombea Marehemu Omulangila LAMBERT LWEIMBAO, Misa iliyofanyika Katika Kijiji cha Igurugati Bugandika na kuongozwa na Katibu wa Askofu Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Revocatus Mwemezi akisaidiana na Mapadre mbali mbali na kuhudhuria na watu mashuhuriu na viongozi wa Serikali.
Ma Albina Mama Mzazi wa Omulangila Justin Lambart pichani.
Matukio ya picha katika adhimisho la Misa takaatifu maalum kwa ajili ya Shukran na kumuombea Marehemu Omulangila LAMBERT LWEIMBAO, Misa iliyofanyika Katika Kijiji cha Igurugati Bugandika na kuongozwa na Katibu wa Askofu Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Revocatus Mwemezi akisaidiana na Mapadre mbali mbali na kuhudhuria na watu mashuhuriu na viongozi wa Serikali.
Neno la Bwana likisomwa na wajukuu wa familia hii mmoja baada ya mwingine
...Neno la Bwana likisomwa na wajukuu wa familia hii mmoja baada ya mwingine
Misa ikiwa inaendelea pichani anaonekana Ndugu Kazimoto akiwa ameungana na Waalikwa wengine.
Muendelezo wa matukio ya picha Ibada ya kumaliza msiba wa Mpendwa wetu Omulangila Lambart Lweimbao iliyofanyika Bugandika Igurugati Bukoba Dec 28,2020
Mashasi family pichani ni Leticia Mashasi na Edith Mashasi
Sehemu ya Wanafamilia na Watoto wa Marehemu Omulangila Lambert Lweimbao wakiendelea kushiriki Ibada..
Ma Albina katika hili na lile na Kitukuu chake.
Idadi ya Mapadre 12 wameongoza Ibada hiyo
Watawa wa Kanisa katoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mzee wetu Omulangira Lambert Lweimbao
Muendelezo wa matukio ya picha

Mhe.Lt Col Denis Mwila Mkuu wa Wilaya Missenyi

Muendelezo wa matukio ya picha...
Omulangila Justin Lambart na mke wake wakiendelea kushiriki misa maalum kwa ajili ya kumbukumbu kifo cha mzee wao
Misa ya kumaliza msiba wa mpendwa wetu Omulangira Lambert Lweimbao ikiwa inaendelea Dec 28,2020 Kijijini Bugandika
Salum Mawingo (Al Saqr na Haji Majid Kichwabuta ni sehemu ya Waalikwa mashuhuri waliohudhuria adhimisho hili
Muendelezo wa matukio ya picha...
Taswira mbalimbali

Mzee Novatus Nkwama wakati wa kutoa sadaka yake
Mzee Cathbart Basibila wakati wa Sadaka
Wanakwaya wakiwajibika kwa kuimba nyimbo za mapambio na kumsifu Bwana.
Wanakwaya wakiwajibika kwa kuimba nyimbo za mapambio na kumsifu Bwana.
Mlangila Deo Lugaibula na Mlangila Sunday pichani
Mkuu wa familia Mlangila Justin Lambart akitoa neno la shukrani kwa watu wote walioungana nao katika
adhimisho la Misa takaatifu maalum kwa ajili ya Shukran na kumuombea Marehemu Omulangila Lambert Lweimbeo na wote walioshirikiana nao katika kipindi chote cha msiba.
Mlangila Justin Lambart  akiendelea kutoa shukrani na historia fupi ya Maisha ya Baba yake mzazi Omlangila Lambert Lweimbao



Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0754 505043



Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Denis Mwila katika picha ya pamoja na Mrs &Mrs Omulangila Justin Lambart.
Picha ya pamoja Walangila walioshiriki adhimisho na kumbukumbu kifo cha Omulangila Lambert Lweimbao

Mlangila Justin Lambart na Mkewe pamoja na vijana wao katika picha ya kumbukumbu 


 


...Mambo yote mliyojifunza au kupokea au kusikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatekelezeni. Na Mungu wa amani ata kuwa pamoja nanyi
Watoto wa kuzaliwa na Omulangila Lambert Lweimbao wakati wa tukio la kuwafuta machozi na kuwavua Sanda.
Watoto wa kuzaliwa na Omulangila Lambert Lweimbao wakati wa tukio la kuwafuta machozi na kuwavua Sanda.
Christopher Chichi Nyamwihula akibadilishana mawazo na Mh Rashid Othmani Mkuu mstaafu wa Usalama.
Wanachama wa ' Udugu Family Group'UFC kwa pamoja wakifanya tendo la kimila  'Kujula Orubugo' Mama mzazi wa Justin Lambart pamoja na Mwenzao Mrs Vedastina Lambert ambaye ni mwanachama wa UFC QUEENS...
Picha ya juu na ya pili kutoka kushoto pichani ni Willielmina, Gilda, Murungi,Ester,Farida,Liberata  na Mama Matungwa 'Adventina' mara baada ya kumfuta Machozi Mjane mama Lambart 'Ma Albina'
Georgia na Ruge Masabala...
Dada Farida Kassim na Murungi Badru Kichwabuta
Michomo kama kawaida...
Rahym Kabyemela pichani

Mdau Nazir Isack pichani
Uncle Sinza  na Nazir Issack
Hope Kasibazi wa Makoka, Saraha na Lilian Tigo Mwise...
Wafilipi 4:9 yale mliyojifunza na kupokea kutoka kwangu; mambo mliyosikia nimesema na kuona nimeyatenda. Naye Mungu anayetujalia ....
Mapadre katika picha na familia ya Mlangila Justin Lambart
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu kati ya Mapadre na Mama Mzazi wa Omulambila Justin Lambart

Luteni Kanali Denis Mwila,Mrs Lambert,Omulangila Justin Lambert na Mh

Dk Mboneko na Ndugu Jamal Kalumuna
Mlangila Deo Mtalemwa,Mlangila Justin Lambart na Chichi Nyamwihula katika hili na lile
..Mambo yote mliyojifunza au kupokea au kusikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatekelezeni. Na Mungu wa amani ata kuwa pamoja nanyi
Mlangila Deo Mutalemwa Dk Kaijanangoma na Sunday kaka mkubwa wakibadilishana Mawazo pichani kushoto.....


 

 


Muendelezo wa matukio ya picha...
Mh Rashid Othmani Mkuu mstaafu wa Usalama akifatilia kinachojiri.
Bi Jamila Wa Jamco
Jamila na Binti Kibengwe pichani

Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045



Next Post Previous Post
Bukobawadau