Bukobawadau

HAFLA YA 'LUGOYE DAY 2020' YAFANA

Pichani ni Wanachama wa   Lugoye Social Club wakiwa katika picha ya pamoja muda mchache baada ya kikao Cha ndani  kinachowakutani Wanachama waliohudhuria sherehe hizo zinazofanyika kila Mwaka. ....
SEHEMU YA KWANZA:Sherehe hizi zilitanguliwa na Misa ya shukrani na kuwaombea wote waliotangulia katika familia ya mwenyeji wetu Mzee Leonce Rwebangira
Mzee Bushoke akibadilishana  Mawazo na Mwenyekiti wake Ndugu Wenceslaus Rwiza  pamoza na Mzee Leonce Rwebangira ambaye ndiye mwenyeji wa hafla ya Lugoye 2020 ambalo limekuwa tukio la kuambatana na matendo ya huruma kwa kusaidia jamii inayo wazunguka hususani katika Vijiji Vyao
Eng George Mutabuzi akiteta jambo na Mzee Bushoke katika sherehe hii ya Rugoye Day 2020 Lugoye
Lugoye Social Club inawakutanisha Wanachama 20  wanaozaliwa katika vijiji vya Ishozi ,Gera na Ishunju na makazi yao yakiwa Jijini Dar es Salaam
Makabidhiano ya  hundi ya shilingi Milioni 2 kwa uongozi wa Shule ya Medium iliyo chini ya Kanisa Katoliki katika kijiji cha Rutalo Parokia ya Ishozi Wilaya Missenyi
Mara baada ya kukabidhi hundi ,Padre akimshukuru Mwenyekiti wa Lugoye ndugu Leonce na mweka hazina wa umoja huo Mzee Bushoke
Kikao cha ndani cha Wana Lugoye
Muendelezo wa matukio ya picha katika kikao cha ndani
Kwa muda mrefu sasa WanaLugoye wameendelea kuchangia maendeleo Katika kata husuka kila wafanyapo mkutano wao na hafla ya kufunga mwaka wameendelea kuacha alama katika nyanja mbalimbali 'Sasa Lugoye Day' ni habari nyingine na wengi wanaitolea mfano
Kikao cha ndani kikiwa kinaendelea

Kwa mweaka 2020 Lugoye Women wameweza kukabidhi Msaada ya tanki la Maji lenye ujazo wa lita 3000.
 Lugoye Women wamekabidhi Msaada ya tanki la Maji lenye ujazo wa lita 3000 katika Shule ya Msingi Medium Kata Ishozi,Endelea kufatilia tukio zima katika picha
Mzee  Leonce katika utambulisho
Mrs Machume pichani
Mzee Machume wakati wa Utambulisho
Omulangila Ben Kataruga wakati wa Utambulisho
Eng George Mutabuzi wakati wa Utamnbulisho.
Mzee wetu  Leonce Rwebangira wakati wa utambulisho
Mlangila Focas Lutinwa akisalimiana na  Athas Mbelwa
Ben Mulokozi wakati wa Utambulisho
Mlangila Focas Lutinwa na  Athanas Mberwa wakibadilishana mawazo
Tupo katika kijiji cha Rutala Kata Ishozi
Mr Athanas Mberwa pichani
Mlangila Ben Kataruga akiendelea kufuatilia kinachojiri hafla ya Lugoye 2020.
Mwenyekiti  Wenceslaus Rwiza akitolea jambo ufafanuzi
Burudani kutoka kikundi cha Wawindaji
Burudani.
Mandhali safi na tulivu uwapo katika kijiji hiki cha Rutala Kata Ishozi Wilaya Missenyi
Muendelezo wa matukio ya picha ,hafla ya Lugoye Day 2020
Mzee  Leonce na Adv Buberwa  wakiendelea kufuatilia kinachojiri...
Mwenyekiti wa
Muendelezo wa matukio ya picha ,hafla ya Lugoye Day 2020
Taswira mbalimbali hafla ikiendelea...
Burudani za hapa na pale zikiendelea...
Muendelezo wa Matukio ya picha
Ahsante Sana Wana Lugoye  kwa upendo kwa Jamii yenu
Muendelezo wa matukio ya picha


Sherehe ikiwa inaendelea pichani


Adv Buberwa pichani kushoto
Maelezo ya Risala muhimu ya Rugoye Women kwenda kwa Mgeni Rasmi ikiendelea.
isala ya Rugoye Women ikikabidhiwa kwa  Mgeni Rasmi wa hafla hii Mh.Diwani wa Kata Ishozi.
Shukrani kwao Wana Lugoye kwa kuendelea kuguswa  na kuchangia Jamii kwa kila Mwaka
Next Post Previous Post
Bukobawadau