MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE 2020 SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANI JOSIAH YAFANA SANA
Mahafali ya Kidato cha nne 2020 shule ya Sekondari ya Wasichani Josiah iliyopo manispaa Bukoba yaliyofanyika juma lililopita, Mgeni Rasmi alikuwa Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato pia mahafali hayo yalihudhuriwa na Wazazi pamoja na Wageni mbalimbali.
Nasra Hamza mmoja wa wahitimu wa Kidato cha nne 2020 Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah
Nasra Hamza katika picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah.
Kijana Kelvin Mpilla akisalimiana na Mhe. Stephen Byabato Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa Nishati
INAENDELEAAAAA.......
Katika picha ya pamoja Wahitimu wa Kidato cha Nne 2020 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah.
Wahitimu wa Kidato cha Nne 2020 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah wakielekea ukumbini Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah.
Wadau wa Shule ya Wasichana ya Josiah katika picha picha ya pamoja na Naibu waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato