Bukobawadau

PUMZIKA KWA AMANI MZEE PHILLIP B. KIIZA

Muonekano wa Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu Mzee Phillip Bushoke Kiiza  muda mchache kabla ya kuanza kwa Ibada ya mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Kijijini Rutara - Ishozi, Jana Jan 18,2021.
Wanafamilia ya  Mzee Phillip Bushoke Kiiza wakiwa katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wao.

Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu mzee Phillip Bushoke Kiiza  aliyezaliwa Jan 8,1948  kwa mujibu  wa kumbukumbu zilizopatika jana katika Parokia ya Mugana alipopata ubatizo,ikiwa inaendelea...

BabA Paroko wa parokia ya Ishozi  akiendelea kutoa mahuburi katika Ibada ya Mazishi ya Mzee Phillip Bushoke Kiiza.

Ndugu Tinka ni miongoni mwa waombolezaji walioshiriki Mazishi ya mpendwa wetu Mzee Phillip Bushoke Kiiza

Ndugu Frank pichani kushoto akiendelea kushiriki Ibada hiyo ,iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Mzee Phillip Bushoke Kiiza Kijijini Rutara Ishozi Wilayani Missenyi.
Wawakili wa Luhoye Social Club pichani kushiriki Ibada hiyo ,iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Mzee Phillip Bushoke Kiiza Kijijini Rutara Ishozi Wilayani Missenyi.


Muendelezo wa matukio ya picha

INAENDELEA..


Next Post Previous Post
Bukobawadau