Bukobawadau

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA BI ALODIA RWECHUNGURA YALIYOFANYIKA NYUMBANI KWAO KITENDAGURO -BUKOBA



Umati Wa waombolezaji wameungana na familia ya Marehemu Mzee Rwegasira wa Kitendaguro Bukoba na kushiriki Ibada ya mazishi ya mpendwa wao Bi Alodia Leonard Rwechungura yaliyofanyika jana Alhamisi Feb 4,2021.
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu Marehemu Alodia Rwegasira (Alodia Rwechungura) aliyekuwa mtumishi wa Umma katika Mahakama ya hakimu mkazi wa Hai
Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu likiwa tayari kubebwa kuelekea eneo husika kwa ajili ya Ibada.
Sehemu ya Wanafamilia wakielekea Ukumbini tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mpendwa wetu Alodia Leonard Rwechungura.

Watoto watatu wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Alodia Leonard Rwechungura pamoja na Bw Edward Emmanuel Rwegasira ambaye ni Baba yao mdogo wakiwa tayari kushiriki Ibada.
Likasikika Neno la Bwana...
Padre akitoa mahuburi katika Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Alodia Rwechungura.
Umati wa Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada
Ibada ya Mazishi ya Mpendwa Alodia Leonard Rwechungura alizaliwa tarehe 01/06/1973, katika Kijijiji Cha Itahwa Bukoba katika familia ya Marehemu Mzee Leonard Rwechungura ikiwa inaendelea

Mzee Paulo pichani akiwa ameungana na waombolezaji wengine kushiriki Mazishi ya Bi Alodia Rwechungura.
Muendelezo wa matukio ya picha


Prof Kaijage akiendelea kushiriki Ibada..
Muendelezo wa matukio ya picha...

.


..



Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya maziko hayo.
Mzee Matungwa akiwa ameungana na waombolezaji wengine katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Alodia Rwechungura


Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiendelea...
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiendelea...
Sadaka ya misa ikiendelea kutolewa..
Richard Rwegasira pichani.
Ndugu Richard Rwegasira akitoa angaliza flani kwa Bwana Mody kulingana na utaratibu..
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiendelea...

Mzee Godwin Rwezaula wakati wa kutoa Sadaka yake

Bwana Musheshe pichani wakati wa kutoa Sadaka...
Sheikh Idrisa akiwafariji wafiwa ...

Edmund Rwegasura akisoma Wasifu wa Mama yake Mpendwa Alodia Rwechungura.

Taswira mbalimbali musibani hapo wakati Ibada ya mazishi ikiendelea..




.

Salaam za rambirambi kutoka Chuo cha Stefano Moshi Mkoani Kilimanjaro
Salaam za rambirambi kutoka kwa mwakilishi wa Wanafunzi waliosoma na mpendwa Wetu Alodia Rwechungura katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Hekima na kuhitimu mwaka 1993.

Rambirambi za wana Hekima zikikabidhiwa kwa Edmund Rwegasira ambaye ni mtoto wa mwisho wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Alodia,
Salaam za rambira rambi zikitolewa kutoka kwa makundi mbalimbali.
Mpendwa wetu Alodia Rwegasura alifunga ndia takatifu ya Kikristo tarehe 15/07/1995 na Mumewe kipenzi William Emmanuel Rwegasira ambaye kwa sasa ni marehemu,Walibarikiwa kupata watoto watatu (3) ambao ni Emmanuel,Edgar na Edmund.
Emmanuel ,Edgar na Edmund wakitokwa na machozi ya uchungu kumpoteza mzazi

.Mzee Paulo na Sheikh Idrisa muda mchache kabla ya kuelekea eneo la Makaburi kwa ajili ya kumpumzisha mpendwa Alodia Rwechungura
Mama Adventina Matungwa pichani...
Picha mbalimbali wakati Utaratibu ukiendelea...



Tayari kuelekea eneo la Makaburi.
Jeneza likiwa limebebwa kuelekea eneo la Makaburi...

Watu wanalia, ..Wanamlilia mpendwa wao Alodia Rwechungura..
Hii  ndiyo Safari ya Mwisho ya Maisha ya mpendwa wetu Alodia Leonard Rwechungura,mtoto wa 6 Kati ya watoto 8 wakuzaliwa katika familia ya Marehemu Mzee Leonard Rwechungura wa Itahwa.

    Bi Judy pichani..
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Alodia likiwa tayari kuingizwa Kaburini
Nenda Dada, tangulia Alodia,Wema wako tumejifunzo mengi,Ttutaonana Badae...!

Wanafamilia wakiweka udongo kwenye kaburi..

Prof Kaijage kutoka Bwanjai Parokia ya Mugana akiwa tayari kuweka Udongo kwenye kaburi


Utaratibu wa kuweka Udongo ukiendelea...

Utaratibu wa kuweka Udongo ukiendelea ...
Msalaba ukiinuliwa Juu


Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Kitendaguro Bukoba, Mazishi ya Alodia Rwechungura
Padre akiweka shada la maua
Watoto wa Marehemu Alodia Rwegasira (Alodia Rwechungura) wakiwa tayari kuweka shada la maua
Emmanuel ,Edgar na Edmund kwa pamoja wanamshukuru mungu kwa zawadi ya Mama yao

Dada wa Marehemu Alodia Rwechungura wakiwa tayari kuweka Shada la maua...
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Wazazi wa Mpendwa Alodia wakiwa tayari kuweka Shada la maua..


Kwa heri mpendwa wetu Alodia tutaonana badae...
Shemeji zake na mawifi kwa pamoja wakiweka Shada la Maua
Mzee Paulo akiweka Shada la maua kwa niaba ya wanaukoo wote...

Muendelezo wa matukio ya picha wakati utaratibu wa kuweka mashada ya Maua ukiendelea...

Muendelezo wa matukio ya picha wakati utaratibu wa kuweka mashada ya Maua ukiendelea..
Upande wa Wazazi wakiweka Shada la maua...


Hao ni wawakilishi waliosoma na Mpendwa Alodia miaka ya 90 Shule ya Wasichana ya Sekondari Hekima


Mzee Matungwa akiweka Shada la maua ...
Mzee Godwin Rwezaula akiweka Shada ya maua kwenye kaburi la Mpendwa Alodia Rwechungura.

Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali....
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amen.



Wanafamilia na marafiki wa familia wakiwa katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu...
Bukobawadau unatoa pole kwa familia ya Mzee Rwegasira na familia ya Marehemu Mzee Leonard Rwechungura kufuatia kifo cha Mpendwa wenu Alodia Mungu awape wepesi katika kipindi hichi cha msiba.

MWISHO tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045








Next Post Previous Post
Bukobawadau