Bukobawadau

UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE THEONEST RWIHUKYA KIJIJINI KWAKE BUGANGUZI #MULEBA

Ni huzuni na Simanzi tele kwa familia ya Mpendwa wetu Mzee Theonest Tibalikwenda Rwihukya wa Kijijini Bushemba Buganguzi-Muleba ikiwa leo tarehe 16 June 2021 , anapumzishwa kwenye nyumba ya milele May his soul rest in peace'
Padre akisali na kulibariki Jeneza lenye mwili wa Baba yetu Mpendwa Mzee Theonest Rwihukya
Msafara kuelekea ukumbuni kwa ajili ya Ibada ya Mazishi ya Mzee Theonest Tibalikwenda Rwihukya
Wajukuu wa wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Mzee Theonest Rwihukya

Waombolezaji Msiba wa Mzee Theonest Rwihukya
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamehudhuria Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Mzee Theonest Rwihukya yaliyofanyika Siku ya Jana Jumatano June16,2021  Nyumbani kwake kijijini Bushemba-Buganguzi Wilayani Muleba
Katika hali ya huzuni wanaonekana Wanafamilia ya Mzee Theonest Rwihukya.
Umetangulia Baba,hakika kila nafsi itaonja mauti!
Daaah! tangulia Baba,Nenda Baba  wanao ulitufundisha Upendo na Unyenyekevu ;Ndivyo anavyo onekana Ndugu Theobard Theonest mmoja kati ya watoto wa kuzaliwa na Mzee Theonest Rwihukya.
Wanakwaya wakiendelea kuimba nyimba za kuabudu
Muendelezo wa matukio ya picha
Bi Grace na Bandali Mwebe wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi hayo,iliyofanyika Kijijini Buganguzi-Muleba na kuhudhuriwa na Umati mkubwa wa Waombolezaji.
Mzee Twange akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
Kwa pamoja watoto wa Marehemu Mzee Theonest Rwihukya wakiweka shada la maua

utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea...
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha
Taswira  mbalimbali wakati taratibu nyingine zikiwa zinaendelea
Bwana Revinus Mc Muongozaji akiendelea kuwajibika...
Muendelezo wa matukio ya picha.
Theobard Theonest na Fabian Kalikawe wakiteta jambo
Mzee Tibaigana akiteta jambo na Ndugu Theobard Theonest mara baada ya mazishi
Katika hili na lile wanaonekana wadau pichani...mara baada ya shughuli ya mazishi ya mpendwa Mzee Theonest Rwihukya
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA
 
 

 


Next Post Previous Post
Bukobawadau