Bukobawadau

NI SIMANZI NA VILIO KATIKA MAZISHI YA MZEE JANUARY LUTINAH KAYUMBE GERA -KASHARAZI

Vilio na Simanzi vimetawala katika Mazishi ya Mpendwa Mzee January Lutinah Kayumbe , yaliyofanyika nyumbani kwake Katika Kijijiji cha Kasharazi -Gera Wilayani Missenyi tarehe 14 July 2021 na kuhudhuriwa na umati wa waombolezaji.

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu Mzee January Lutinah Kayumbe.
Utambulisho kwa wanafamilia na Wageni walioshiriki Mazishi ya mzee wetu ukitolewa na Bwana Raymond January Lutinah,muda mchache kabla ya Ibada ya mazishi
Msalaba ukiwa umebebwa na mmoja wa Wajukuu wa Mpendwa wetu Mzee January Lutinah Kayumbe
Jeneza lenye mwili wa mpendwa mzee Lutinah likiingizwa ukumbini Kwa ajili ya Ibada takatifu ya mazishi yake...
Muonekano wa Jeneza lenye Mwili wa  Mzee January Lutinah Kayumbe aliyesifika kwa Ibada na mwenye hofu ya Mungu
Sehemu ya wanakwaya
Muendelezo wa matukio Picha kutoka kijijini Kasharazi Kata Gera
Ni Muendelezo wa matukio Picha kutoka kijijini Kasharazi Kata Gera
Shukrani kubwa kwa Mdau wetu Stide (USA) Kwa kuendelea kutambua uwepo wetu na kutushirikisha kwa matukio kama hivi kila mara
Mwanzo wa Ibada ya Mazishi ikiongozwa na Baba Paroko wa parokia ya Mugana
Mtiririko wa matukio ya picha mwanzo mwisho,Mazishi ya Mpendwa wetu Mzee January Lutinah Kayumbe kupitia Bukobawadau
Muonekano wa kaburi na Mashine maalum kwa ajili ya mazishi ya mpendwa wetu
Taswira mbalimbali wakati Ibada ya Mazishi ikiendelea..
Muendelezo wa matukio ya picha
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendelea..
Hakika ni Simanzi kubwa kwa kila aliyemjua mzee January wa Kasharazi
Vilio,huzuni na Machozi kwa wanafamilia kufuatia Msiba huu wa mpendwa wetu,Baba/Babu Mzee January Lutinah Kayumbe.
Heshima za mwisho kwa mzee wetu,Mlezi wetu,Baba yetu,Babu yetu Mzee January Lutinah
Heshima za mwisho kwa mzee wetu,Mlezi wetu,Baba yetu,Babu yetu Mzee January Lutinah
Picha inaongea mengi...
Ni wakati wa Simanzi na Vilio zoezi la ktoa heshima za mwisho kwa mzee wetu,Mshauri wa wengi Mlezi wetu,Baba yetu,Babu yetu,rafiki yetu Mzee January Lutinah
Mama Mjane akimlia mme wake Mzee January Lutinah Kayumbe
Poleni Sana ndugu....
Utaratibu wa kutoa heshima za Mwisho ukiwa unaendelea....
Ni Simanzi kwa watu wote na Wanafamilia...
Last lespect
Pole kaka
Jeneza likishushwa kaburini...
Kaka Raymond akiweka Udongo kwenye kaburi la Baba yake mzazi
Hakika watu wengi wameguswa na msiba huu wa Mpendwa mwana Jumuhiya ,mcha mungu na mpenda Ibada,pichani ni Mlangira Kataruga akiweka Udongo kwenye kaburi la rafiki yake mzee January Lutinah Kayumbe
Wajukuu wakiweka Udongo kwenye kaburi la mpendwa wao...
Baba Paroko wa Parokia  ya Mukana akiongoza Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Mzee January Lutinah Kayumbe.
Wajukuu kwa pamoja wakiweka Shada la Maua
Makundi mbalimbali yakiendelea na Utaratibu wa kuweka mashada ya maua...
Nenda Baba.Tangulia mzee wetu Tutaonana Badae...
Mwalimu Pius Jirani mwema wa familia ya Mzee January akiweka Shada la maua

Wanaukoo na Watu mbalimbali wakiweka mashada ya maua
Endelea kufuatilia Bukobawadau kwa matukio ya papo kwa papo yanayojiri mkoani Kagera
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali


Ni wakati wa Wawakilishi wa  TPA kuweka shada la Maua..
TPA Wawakilishi wakiweka shada la maua katika kaburi la Mpendwa Mzee January Lutinah
Utaratibu wa kuweka masha ya maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Utaratibu wa kuweka masha ya maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Wanaukoo wakiongozana na watu wengine kuweka mashada ya maua katika kaburi la Mzee January Lutinah


Wakwe wa familia hii wakiweka shada la maua
Watoto wa Marehemu Mzee January Lutinah wakiweka shada la Maua
Mama akiweka Shada la maua

MUHIMU:Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage y Picha na video kwenye sherehe mbalimbali @bukobawadau
Wanafamilia katika picha ya pamoja
Masula ya kimira yakiendelea kuchukua kasi kwa Watoto wa Mpendwa wetu Marehemu Mzrr January Lutinah
Tunamuombea kwa mungu na tunaiombea familia Amani moyoni wakati huu mgumu kwa wote wanaoguswa na msiba huu mzito
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Mama Mjane wa Mzee January Lutinah Kayumbe pichani katikati.
Kwa mapambo yaliyoshindikana ni Yule yule mkali wa Kazi Mama Adventina (Matungwa)
Poleni sana Ndugu, Tunamuombea Pumziko la Amani mpendwa wetu
Eeh Mungu familia tunakushukuru kwa muda wote tulioishi na Baba tunamuombea pumziko la milele na hatutokoma kukupenda daima
Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua ukiendelea
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Matukio ya picha za kumbukumbu eneo la kaburi
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage y Picha na video kwenye sherehe mbalimbali @bukobawadau
Wajukuu wa Mpendwa wetu wakiweka Mashada ya maua...

Wananchi waliohudhuria mazishi hayo wakifuatilia kinachojiri
Kaka Mkubwa wa familia Ndugu Raymond Lutinah akitoa neno la shukrani kwa niaba yake na kwa niaba ya familia..

Shukrani kubwa kwa Mdau wetu Stide (USA) Kwa kuendelea kutambua uwepo wetu na kutushirikisha kwa matukio mara kwa mara
Ni Bukobawadau pekee Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya picha na Video kwa bei poa kabisa
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau