UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MPENDWA MA GRENSIA ENOCK KAMUZORA KIJIJINI KIGARAMA KANYIGO.
Tunampumzisha Mama yetu Ma Grensia Enock Kamuzora (1946-2021) tuungane kumuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia ya mpendwa wetu pamoja na Mzee wetu Enock Kamuzora. #NendaSalamaBibi,tangulia Mama, Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Ma Grensia Enock Kamuzora tuliyempumzisha kwenye makazi yake ya Milele Siku Alhamis Aug 26,2021 Kijijini Kigarama Kanyigo
Sehemu ya Waombolezaji waliohudhuria Mazishi hayo.Pata mtiririko mzima wamatukio ya picha Mazishi ya mpendwa wetu Ma Grensia Kokubelwa Kamuzora yaliyofanyika Tarehe 26/8/2021 Kijijini Kwake Kigarama Kanyigo
Misa ya kuombea Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu.Ibada ya ndani ikiwa inaendelea....
Mjukuu akiwa akiongo msafara wa Jeneza la Mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora.
Endelea kufuatilia ukurasa huu mpaka mwisho kwa matukio ya picha na Sehemu ya VideoPoleni sana kwa kumpoteza Mama yenu Mpendwa..
Sehemu ya wanafamilia na Wanaukoo wa Mzee Enock Kamuzora.
Bukobawadau tunatoa pole kwako Kaka na rafiki yetu Mujuni Kamuzora (pichani kushoto) na wanafamilia nyote
Padre wa Parokia ya Kanyigo akitoa neno la faraja kwa wafiwa.Bukobawadau tunatoa pole kwako Kaka na rafiki yetu Mujuni Kamuzora (pichani kushoto) na wanafamilia nyote
Umati mkubwa wa Waomboleza wakiendelea kushiriki Ibada hiyo na matukio mbalimbali yaliyojiri katika mazishi ya Mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akitoa pole na kukabidhi rambirambi yake kwa Mzee Enock Kamuzora aliyeondokewa na Mke wake mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abelnego Mushahara akitoa neno la faraja kwafamilia ya Mzee Enock Kamuzora.
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abelnego Mushahara akitoa neno la faraja kwafamilia ya Mzee Enock Kamuzora.
Din akitoa utambulisho kwa Wachungaji na Viongozi wa Kiroho walioweza kuhudhuria mazishi ya Mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora
Utambulisho ukiwa unaendelea...
#SalaamZaRambirambi Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akitoa neno la faraja kwawafiwa.Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akitoa neno la faraja kwawafiwa.

Mwakilishi wa Bunge la Afrika Mashariki akitoa salaam za rambirambi kwa familia ya Mzee Enock Kamuzora nawote waliofika na msiba huu mkubwa
Wanafamilia wakifatilia kinachojiri kwa umakini mkubwa.
Muendelezo wamatukio Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Mwakilishi wa KADEA akitoa Salaam za rambirambi
Muendelezo wa matukio ya picha,Salaam zarambirambi zikiendelea
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043

Mzee Abdallah Majura akitoa utambulisho kwa wanafamilia ya Mzee Enock Kamuzora na Marafiki kwa kuzingatia makundi mbalimbali.
Walio simama ni Watoto wa kuzaliwa na Mzee Enock Kamuzora na Mpendwa wake Ma Grensia Kamuzora
Utambulisho ukiwa unaendelea...
Utambulisho kwa wanafamilia ukiendelea....
Utambulisho ukiendelea kwa makundi mbalimbali
Kutoka Maruku na Ndugu wa familia ya Mpendwa wetu Ma Grensia Kamuzora.
Muendelezo wa matukio ya picha muda mchache kabla ya Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Ma Grensia Enock Kamuzora.Hakika watu ni wengi kweli kweli....

Taswira kupitia picha kabla ya kuanza kwa Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Ma Grensia Enock Kamuzora.
Marafiki wafamilia ya Mzee Enock Kamuzora,Kutoka nchini Uganda wakitoa salaam za rambirambi
Salaam za rambirambi kutoka nchini Uganda.
Mtaalam Evanc Kamenge na Ndugu Hamidu Komungoma ni miongoni mwa waombolezaji walioshiriki Mazishi hayo.Kijijini Kigarama Kanyigo
Muendelezo wa matukio ya picha.
Muendelezo wamatukio ya picha Mazishi ya mpendwa wetu Mama yetu,Mlezi wetu,Muuguzi, Ma Grensia KamuzoraMarafiki wafamilia ya Mzee Enock Kamuzora,Kutoka nchini Uganda wakitoa salaam za rambirambi
Salaam za rambirambi kutoka nchini Uganda.
Mtaalam Evanc Kamenge na Ndugu Hamidu Komungoma ni miongoni mwa waombolezaji walioshiriki Mazishi hayo.Kijijini Kigarama Kanyigo
Muendelezo wa matukio ya picha.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea kwa watu wote
Askofu Bagonza.
Mzee Enock Kamuzora akitoa heshima za mwisho kwa mke wake mpendwa...Jamani pole sana mzww wetu mwenyezi mungu akutie nguvu
Pole Sana Mzee wetu Mzee Kamuzora, kwa msiba huu mkubwa. Mwenyezi Mungo akujalie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu. Roho ya mama yetu irate faraja mahali pema mbinguni...
Pole Sana Mzee wetu Mzee Kamuzora, kwa msiba huu mkubwa. Mwenyezi Mungo akujalie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu. Roho ya mama yetu irate faraja mahali pema mbinguni...
Hakika ni simanzi kubwa kwa wanafamilia kuondokewa na mpendwa wao
Poleni sana ndugu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na ampuzishe kwa amani mpendwa wetu...
Poleni sana ndugu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na ampuzishe kwa amani mpendwa wetu...
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea...
Tunamuombea Mungu ampokee vyema Mama yetu na aawatie faraja wanafamilia Wa Mzee Enock Kamuzora na ndugu wa karibu.
Tunamuombea Mungu ampokee vyema Mama yetu na aawatie faraja wanafamilia Wa Mzee Enock Kamuzora na ndugu wa karibu.
Muendelezo wamatukio ya picha ....
Mwanzo wa Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Mama Grensia Enock Kamuzora
Ibada ikiwa inaendelea...
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Mpendwa wetu Ma Grensia Kamuzora.
Mwanzo wa Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Mama Grensia Enock Kamuzora
Ibada ikiwa inaendelea...
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Mpendwa wetu Ma Grensia Kamuzora.
Taswira Ibada ya Mazishi ikiendeleaTaswira Ibada ya Mazishi ikiendelea
Mchungaji akiongoza Ibada ya Mazishi hayo,Kijijini Kigarama Kanyigo
Mtiririko wa matukio ya picha kupitia Bukobawadau.
Muendelezo wa matukio ya picha
Mchungaji akiendelea kutoa mahuburi /Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wety Grensia Enock Kamuzora
Jeneza tayari kuingizwa kaburini...Mchungaji akiongoza Ibada ya Mazishi hayo,Kijijini Kigarama Kanyigo
Mtiririko wa matukio ya picha kupitia Bukobawadau.
Muendelezo wa matukio ya picha
Mchungaji akiendelea kutoa mahuburi /Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wety Grensia Enock Kamuzora
Zoezi la kuweka Udongo likiongozwa na Viongozi wa kiroho.
Utaratibu wa kuweka Udongo kwenye kaburi la Mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora unaendelea..
Mtawa akiweka Udongo kwenye kaburi
Jamani Mzee wetu pole Sana tunakuombea faraja na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.

Pole sana kwa msiba wa Mama yako Ndgu Mujuni Kamuzora,..May her soul rest well peacefully!!
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abelnego MushaharaAskofu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akiweka shada la maua
Askofu Bagonza akiweka Shada la maua
Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua katika kaburi la Mpendwa Gerensia Kamuzora ukiendelea.
Mzee Enock kamuzora akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mke wake mpendwa...
Watoto wakike Abela,Akiza na Rehema wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao Mpendwa.
Watoto wakike Abela,Akiza na Rehema wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao Mpendwa.
Watoto na Wakwe wa mpendwa wetu wakiwa tayari kuweka Shada la Maua.
Shada likiwekwa kwenye kaburi na Mkwe wafamilia,Wema Kamuzora ,Bwn na Bi Mujuni Kamuzora tumuombee Mamayetu Ma Grensia Kamuzora pumziko jema...
Shada likiwekwa kwenye kaburi na Mkwe wafamilia,Wema Kamuzora ,Bwn na Bi Mujuni Kamuzora tumuombee Mamayetu Ma Grensia Kamuzora pumziko jema...
Namara ambaye ni Mjukuu akiwa tayari kuweka shada kwenye kaburi la Bibi yake
Mzee Ezra Mtagwaba ambaye ni Kaka wa marehemu akiweka shada la maua
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea...
Muendelezo wamatukio ya picha
Mzee Ally Majura akiweka shada la mauaMzee Ezra Mtagwaba ambaye ni Kaka wa marehemu akiweka shada la maua
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea...
Muendelezo wamatukio ya picha
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abelnego MushaharaAskofu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akiweka shada la maua
Askofu Bagonza akiweka Shada la maua
Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua katika kaburi la Mpendwa Gerensia Kamuzora ukiendelea.
Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua katika kaburi la Mpendwa Gerensia Kamuzora ukiendeleaZoezi lakuweka Mashada ya maua katika kaburi la Mpendwa Gerensia Kamuzora linaendelea
Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Mungu awape uvumilivu na awatie moyo ktk kipindi hiki kigumu .
Picha za hapa na pale Mara baada ya mazishi ya mpendwa wetu
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Picha kwa ajili ya kumbukumbu,Nenda Salama Ma Grensia Kamuzora.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045

Pia tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali hii ni Huduma kutoka kwetu Siku zote @bukobawada