KASHAMBYA HOSPITAL ILIYOPO GERA YAZINDULIWA RASMI
Kituo Cha Afya Cha Kashambya kata Gera wilayani Missenyi mkoani Kagera ambacho kitatoa huduma za kitabibu kwa magonjwa mbalimbali ya binadamu kimefunguliwa ,ikiwa ni sehemu ya kutimia kwa ndoto ya Dr Consolata Banda Rwechungura mkazi /Mzaliwa wa kata Gera ambaye amekuwa ajitolea katika jamii ya Gera kwa zaidi ya miaka 20 kwa kuleta madaktari Bingwa kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kutoa huduma za Afya kwa wananchi.Muonekano wa Majengo ya Hospital ya Kashambya kwa Nje.Chumba cha Daktari
Taswira ndani na nje ya Majengo kupitia Bukobawadau
Dr Consolatha Banda Rwechungura pichani (MD) Kashambaya Hospital
Tumeshuhudia Sehemu ya Vifaa tiba katika Hospitali hiyo Kashambya ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti,mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali
Vifaa tiba vya aina mbalimbali
Ndani ya vyumba wataalam wa Afya na WagonjwaVifaa mbambali ndani ya Hospital hiyo....
Muonekano wa Sehemu mbalimbali za Majengo ya Hospitali ya Kashambya
Generator lenye uwezo wakutoa umeme kulingana na mahitaji
Jengo la Jiko hospitali ya Kashambya.
Wadi za Wagonjwa kama inavyo onekana pichani
Vyoo ndani ya hospitali ya Kashambya -Gera Missenyi
Taswira mbalimbali pichani Hospitali ya Kashambya
Ndani ya Chumba cha Uzazi (Labor)......
Mganga mkuu Dr Samson William wa Hospital ya kashambay akitolea jambo ufafanuzi wakati wa Ukaguzi wa Majengo ya Hospitali hiyo
Dr.Consolatha Banda akitolea jambo ufafanuzi ndani ya chumba cha Uzazi
Sehemu ya Mapumziko kwa Wauguzi na Madaktari wa hospitali ya Kashambya
Kuelekea chumba cha Mapumziko kwa Wauguzi na Madaktari wa hospitali ya KashambyaVyumba vya Private hospitali ya Kashambya iliyopo Gera Wilayani Missenyi
Ufunguzi wa kituo hicho Cha Afya umewashirikisha viongozi wa serikali Ngazi ya Afya wa wilaya na mkoa pamoja na Askofu wa Jimbo la Kayanga Almachius Rweyengoza Ambaye aliwataka wananchi wanaoishi nje ya nchi kukumbuka Nyumbani na kuja kuwekeza vitu vitakavyoisaidia jamii na kuacha alama kumbukumbu katika Maisha ya vizazi vilivyopo na vijavyo.
Ukamililaji wa kituo hicho kitakachotoa huduma zote za kupima na kutibu magonjwa mbalimbali ya Binadam ni ndoto ya Dr Consolata Rwechungura ambayo aliishi nayo kwa kipindi Cha Miaka 20 iliyopita ambapo alilazimika Kuwaleta madaktari Bingwa kutoka Marekani na kuja kuwatibu magonjwa mbalimbali wakazi wa mkoani Kagera bila kuwa na eneo la kutosha la kutolea huduma za Afya zoezi hilo la kuleta madaktari limekuwa likifanyika kila baada ya miaka 2.
Hata
hivyo wananchi wa Kata Gera wakiongozwa na Diwani wa kata hiyo Mh
Bitegeko (pichani kulia) waliosimama wamepongeza hatua hiyo na kusema
kuwa hata wangeandika kitabu kuhusu mazuri yaliyofanywa na Dr Consolatha
huenda wangekesha wakiandika kwa sababu ndani ya miaka 20 amejenga
shule,amesomesha watoto,ametoa
huduma za tiba,ametibu wazee ,ameleta maji,ametengeneza mifumo ya umeme
shuleni ,amefadhili miradi ya jamii na mengine mengi ambayo
yanaitimishwa na uwepo wa kituo hicho katika Kijiji Chao ambacho
kitawapunguzia mwendo wa kufata huduma za Afya katika hospital zilizoko
mbali.
Katika picha ya pamoja na Askofu Almachius Rweyongeza wa
Jimbo Katoliki la Kayanga mara baada ya misa takatifu ya kumshukuru Mungu na kubariki Majengo ya mradi wa Hospital ya Kashambya iliyopo Kata Gera Wilayani Missenyi
Viongozi wa Kiserikali wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera (RMO) Isandela Kaniki waliosimama pichani katikati pamoja na wadau na wauguzi wa Kashambya Hospital
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu na Dr Consolatha Banda Rwechungura.
Wazee wa Kata ya Gera na Uongozi wa Kashambya Hospital katika picha ya pamoja mara baada ya Baba Askofu Almachius Rweyongeza kubariki majengo ya Hospital hiyo.
Jimbo Katoliki la Kayanga mara baada ya misa takatifu ya kumshukuru Mungu na kubariki Majengo ya mradi wa Hospital ya Kashambya iliyopo Kata Gera Wilayani Missenyi
Viongozi wa Kiserikali wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera (RMO) Isandela Kaniki waliosimama pichani katikati pamoja na wadau na wauguzi wa Kashambya Hospital
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu na Dr Consolatha Banda Rwechungura.
Wazee wa Kata ya Gera na Uongozi wa Kashambya Hospital katika picha ya pamoja mara baada ya Baba Askofu Almachius Rweyongeza kubariki majengo ya Hospital hiyo.
Taswira ndani na nje ya Majengo kupitia Bukobawadau
Dr Consolatha Banda Rwechungura pichani (MD) Kashambaya Hospital
Tumeshuhudia Sehemu ya Vifaa tiba katika Hospitali hiyo Kashambya ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti,mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali
Vifaa tiba vya aina mbalimbali
Ndani ya vyumba wataalam wa Afya na WagonjwaVifaa mbambali ndani ya Hospital hiyo....
Muonekano wa Sehemu mbalimbali za Majengo ya Hospitali ya Kashambya
Generator lenye uwezo wakutoa umeme kulingana na mahitaji
Jengo la Jiko hospitali ya Kashambya.
Wadi za Wagonjwa kama inavyo onekana pichani
Vyoo ndani ya hospitali ya Kashambya -Gera Missenyi
Wananchi wa Kata Gera wakiongozwa na Diwani wao Mh.Bitegeko wameonyesha furaha yao huku wakimuombea Mwenyezi Mungu amlinde Dr.Consolatha Banda Rwechungura
Ndani ya Chumba cha Uzazi (Labor)......
Muendelezo wa matukio ya picha...
Mganga mkuu Dr Samson William wa Hospital ya kashambay akitolea jambo ufafanuzi wakati wa Ukaguzi wa Majengo ya Hospitali hiyo
Dr.Consolatha Banda akitolea jambo ufafanuzi ndani ya chumba cha Uzazi
Sehemu ya Mapumziko kwa Wauguzi na Madaktari wa hospitali ya Kashambya
Kuelekea chumba cha Mapumziko kwa Wauguzi na Madaktari wa hospitali ya KashambyaVyumba vya Private hospitali ya Kashambya iliyopo Gera Wilayani Missenyi
Sehemu ya maegesho ya magari.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali hii ni Huduma kutoka kwetu Siku zote @bukobawadau
Muonekano wa picha ya Juu Baadhi ya Majengo ya Hospitali ya Kashambya..
INTRO SEHEMU YA VIDEO UZINDUZI NA MISA YA SHUKRANI HOSPITALI YA KASHAMBYA GERA