NI FURAHA KWA FAMILIA YA MLANGILA JUSTIN LAMBART KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KAMPENI YA MARIATHON 2021 (JIMBO BUKOBA)
Familia ya Mlangila Justin Lambart pichani muda mchache kabla ya kukabidhiwa Cheti cha shukrani kwa kuuchangia utume wa
Radio Maria Tanzania katika Misa ya Shukrani kwa Kushika nafasi ya
kwanza Kijimbo (Bukoba) na ya nafasi ya tatu Taifa Katika Kampeini ya Mariathon
2021 Shahidi wa Matumaini .Misa imefanyika nyumbani kwake Kijijini
Bugandika na kuongozwa na baba Askofu Kilaini.
Mlangila Justin Lambart akifurahia Cheti cha nafasi ya kwanza Jimbo katoliki (Bukoba) na nafasi ya Tatu (Taifa) Katika Kampeini ya Mariathon 2021 Shahidi wa Matumaini inayoratibishwa na Radio Maria Tanzania.
Misa
takatifu iliyoambatana na Kumkabidhi sanamu ya Bikira Maria
aliyozawadiwa kutoka uongozi wa Radio Maria Tanzania Mulangila Justine imekabidhiwa na Baba Askofu Desiderius Rwoma Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Bukoka.Askofu Desiderius Rwoma Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Bukoka akionesha Cheti maalum cha shukrani kabla ya kumkabidhi Mlangila Justin Lambart.Mlangila Lambart na mkewe wakipokea Cheti cha Shukrani Kutoka Radio Maria,Radio ya Kikatoliki Tanzania inayomjenga msikilizaji "Kimwili, Kiakili na Kiroho" kwa kupitia vipindi mbalimbali vya "Kidini na Kijamii
Mlangila Justin Lambart akifurahia Cheti cha nafasi ya kwanza Jimbo katoliki (Bukoba) na nafasi ya Tatu (Taifa) Katika Kampeini ya Mariathon 2021 Shahidi wa Matumaini inayoratibishwa na Radio Maria Tanzania.
Muonekano wa Cheti Maalum cha Shukrani kutoka Radio Maria,Radio ya Kikatoliki Tanzania inayomjenga msikilizaji "Kimwili, Kiakili na Kiroho" kwa kupitia vipindi mbalimbali vya "Kidini na Kijamii.
Pata mtiririko mzima wa matukio yaliyojiri Kijijini Bugandika katika Ibada ya Shukrani Nyumbani kwa Mlangila Justin Lambart.
Picha /video na;Bukobawadau Media
Sehemu ya Mapadre waliohudhuria Misa hiyo wakiongozwa na Askofu Kilaini Askofu Msaidizi wa Jimbo katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini akiongoza Misa Sehemu ya Wanakwaya wa Katisa Katoliki Bugandika.
Askofu Kilaini akiendelea kuongoza Ibada hiyo
Muendelezo wa matukio ya picha katika Misa hiyo iliambatana na kumkabidhi sanamu ya Bikira Maria aliyozawadiwa na uongozi wa Radio Maria Tanzania Mulangila Justin Lambert nyumbani kwake Bugandika Jimbo katoliki la BukobaNeno la Bwana likisomwa...

Sehemu ya Matoleo kwa wanafamilia
Hakika kwa njia ya Kristo Yesu, Mama Kanisa anaweza kutoa sadaka ya sifa katika shukrani kwa ajili ya kila kitu ambacho Mwenyezi mungu amekifanyaWanakwaya Wakiwajibika
Hakika kwa njia ya Kristo Yesu, Mama Kanisa anaweza kutoa sadaka ya sifa katika shukrani kwa ajili ya kila kitu ambacho Mwenyezi mungu amekifanyaWanakwaya Wakiwajibika
Mlangira Mtayoba akifurahia na Wanao ,Mabinti wa Mlangila Justin Lambart
Ndugu Jamal Kalumuna akiteta Jambo na Mzee Matungwa
Bukobawadau tunayo Offer kabambe kwako msomaji wetu Offer ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe na matukio mbalimbaliNdugu Jamal Kalumuna akiteta Jambo na Mzee Matungwa
Picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
Umati wa Waumini wakiendelea kushiriki Misa hiyo iliyofanyika Kijijini Bugandika Nyumbani kwa Mlangila Justin Lambart
Umati wa Waumini wakiendelea kushiriki Misa hiyo iliyofanyika Kijijini Bugandika Nyumbani kwa Mlangila Justin Lambart
Pamoja na Mambo mengine Baba Askofu msaidizi wa Jimbo katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini alipohamasisha kuuchangia utume wa Radio Maria Tanzania katika Misa ya Shukrani kwa Kushika nafasi ya kwanza Kijimbo (Bukoba) Katika Kampeini ya Mariathon 2021 Shahidi wa Matumaini inayoratibishwa na Radio Maria TanzaniaPia Askofu Kilaini alionyeshwa kuguswa na hali ya Mlemavu wa Macho mwenye uhitaji kwa ajili ya matibabu ya Mwanae ambaye Mlangila Justin Lambart ameahidi kumsaidia mtoto huyo kimatibabu na kumsomesha mpaka mwisho wake....
Umati mkubwa wa watu wakimsikiliza Mlangila Justin Lambart
Mlangila Justin Lambart akitoa neno...
Umati mkubwa wa watu wakimsikiliza Mlangila Justin Lambart
Mlangila Justin Lambart akitoa neno...
Eneo la Makaburi,Misa ya kubariki Makaburi ikiongozwa na Baba Askofu Kilaini
Misa ya kubariki Makaburi
Misa ya kubariki Makaburi
Muendelezo wa matukio ya picha eneo la makaburi
Endelea kupumzika kwa Amani mzee wetu Omulangila Lambert Lwembeo
Endelea kupumzika kwa Amani mzee wetu Omulangila Lambert Lwembeo
Utaratibu wa kupata huduma safi ya Chakula kilichoandaliwa.
Christopher Chichi Nyamwihula Kaka Christopher Chichi Nyamwihula akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia ya Mlangila Justin Lambart.
Utaratibu wa kupata chakula ukiendelea kwa watu wote...
Neno la shukrani kwa niaba ya familia likitolewa na Ndugu Wakati Baba Askofu Desiderius Rwoma akiondoka mahali hapa
Taswira mbambali wakati hafla ikiendelea mara baada ya Misa ya Shukrani
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Taswira mbambali wakati hafla ikiendelea mara baada ya Misa ya Shukrani
Muendelezo wa matukio ya picha.....
Burudani ikiendelea kuchukua Kasi...
Burudani ya Kasimbo kutoka Ngote Muleba ikiendelea kuchukua kasi..
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Kijijini Bugandika...Burudani ikiendelea kuchukua Kasi...
Burudani ya Kasimbo kutoka Ngote Muleba ikiendelea kuchukua kasi..
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Christopher Chichi Nyamwihula Kaka Christopher Chichi Nyamwihula akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia ya Mlangila Justin Lambart.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045