Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, ashuhudia utiaji saini Mkataba wa Awali wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Wananchi kwenye Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa
Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project)
iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) kwenye Hafla iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) kwenye Hafla iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Wananchi kwenye Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Wawekezaji mara baada ya Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.
Muendelezo wa matukio ya picha