Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan asaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Japan pamoja na Angola Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 11 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Japan nchini Tanzania kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa nchi hiyo Shinzo Abe aliyeuawa kwa kupigwa risasi nchini Japan tarehe 8 Julai, 2022.