ZIARA YA TOM BEZEK NA FAMILIA YAKE MJINI BUKOBA CHINI YA COSAD TANZANIA
Ugeni wa mfadhili wa miradi ya Cosad Tazania Ndugu Tom Bezek na familia yake kutoka nchini Marekani umewasili mjini hapa na kupokelewa na mwenyeji wao Ndugu Smart Baitani katika ziara ya siku nne July 21-July 24,2022
Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge.
Muendelezo wa matukio ya picha.
Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba wamefika kumsalimia Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge....
Ndugu Tom Bezek akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge.Rais wa Cosad Tanzania akiongea na vyombo vya habari kuhusi Miradi mbalimbali inayoendelea Chini ya Cosad ukiwa ni pamoja na Mradi mkubwa wa Hospitali na mradi wa kuwasaidia akina mama ujulikanao kama 'One Woman One Goat'Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge akizungumza na Rais wa Cosad Tanzania ndugu Smart Baitani.Wageni wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge.
Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge.
Muendelezo wa matukio ya picha.