Mhe. Rais Samia akiagana na Rais wa Zambia Mhe. Hichilema baada ya kukamilisha ziara yake hapa nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema
mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku moja Jijini Dar es Salaam tarehe
02 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku moja Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.