TANZANIA YAIHAKIKISHIA IRAN MAZINGIRA SALAMA YA BIASHARA, UWEKEZAJI
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mhe. Amir Abdollahian akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk
walipokutana kwenye ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati
ya Tanzania na Iran lililofanyika Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk akifungua Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Iran lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam
Meza kuu ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Iran lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam