Bukobawadau

UMATI WAMLILIA OMWAMIKAZI MA ANNALBINA LAMBERT LWEIMBAO ...

Maelfu ya waombolezaji, Watu mashuhuri ,Viongozi wa Serikali na Dini ,Wanasiasa na Wanazuoni wameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Maziko ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao Nyumbani kwake  Kijiji Cha Igurugati Parokia ya Bugandika Jimbo katoliki la Bukoba, Ibada iliyoongozwa na Baba Askofu Mhashamu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba.
Katikati ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga Askofu Almachius Rweyongeza

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbroad Mutafungwa pichani ni miongoni mwa waliohudhuria mazishi ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.

Mlangila Sunday na Mlangila Deo Mtalemwa pichani....
Katikati ni Mzee Rashid Othman Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao
Wanafamilia wakiendelea kusikiliza mahuburi ya
Askofu Kilaini wakati wa Ibada .
Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha,Mazishi ya
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao
Idadi kubwa ya Mapadre wakiendelea na
Ibada ya Misa Takatifu ya Maziko ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao  yaliofanyika Jana Aug 1,2022 Kijijini Igurugati Bugandika.

Umati wa Waombolezaji wakiendela kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Maziko ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao  yaliofanyika Jana Aug 1,2022 Kijijini Igurugati Bugandika.

Umati wa waombolezaji katika Mazishi ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao yaliyofanyika Igurugati Bugandika-Missenyi

Mstari wa pili nyuma yupo  Adv.Protas Ishengoma na Mzee Anic Kashasha marafiki wa karibu wa Mlangila Justin Lambert.
Mlangila Kataruka na Mlangila Focas Lutinwa pichani
Wanafamilia wakiendelea kushiriki Misa ya Mazishi ya mpendwa wao
Umati wa Waombolezaji wakiwa tayari kushiriki Ibada ya MisaTakatifu ya Maziko ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao  yaliofanyika Jana Aug 1,2022 Kijijini Igurugati Bugandika.

Ibada ikiongozwa na Mhashamu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba

Mlangila Justin Lambert na mke wake wakishiriki Ibada ya Mazishi ya Mama Mzazi Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Sehemu ya Wanakwaya wakiwajibika...
Katikati ni Mh
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Florent Laurent Kyombo akifuatiwa na Christopher Chichi
Hakika ni simanzi kubwa kuaga mwili wa Mpendwa wetu
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Ni vilio na machozi vikitawala Msiba wa
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendelea..
Wanafamilia wakielekea kutoa heshima za mwisho Mwili wa mpendwa wao
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Nenda Salama mpendwa wetu
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Muendelezo wa matukio ya picha zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea...

Baba
Askofu  Methodius Kilaini akitoa heshima zake za mwisho mwili wa Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Mhe. Kemilembe Rose Lwota Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo pichani
Mnec Wilbroad Mutabuzi akitoa katika utaratibu wa kutoasadaka 
Sadaka ikitolewa...

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Mama yetu ,Bibi yetu Mpendwa Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.

Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali..
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali..
Adv. Protas Ishengima akitoa salaam za rambirambi
Muendelezo wa matukio ya picha
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali..
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali.....
Neno na salaam za rambirambi kutoka kwa wajukuu
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Florent Laurent Kyombo akitoa Salaam za rambirambi
Mwenyekiti wa Uvccm Missenyi akitoa salaam za rambirambi
Mkono wa kuwafariji wafiwa...Mbunge wa Jimbo la Nkenge Florent Laurent Kyombo 
Salaam na nenoi kutoka Ujombani ndugu wa Mpendwa wetu
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.
Mwakilishi Ofisi ya Mlangila Justin Lambart akifikisha salaam za rambirambi
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kyelima akitoa salaam za rambirambi
Utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi ukiendelea..
Utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi ukiendelea..
Wilbroad Mutabuzi akifikisha salaam za chama kwa niaba ya Chama cha mapinduzi CCM
Mkono wa pole kwa wafiwa..
Mzee Rashid Othman Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao akitoa Wasifu wa marehemu kwa ufupi mpaka umauti unamkuta..

Neno la shukrani likitolewa na Mlangila Justin Lambert
Muonekano wa sehemu ya waombolezaji Upande mmoja wakati Mlangila Justin Lambert akitoa neno la shukrani kwa watu wote waliweza kushiriki kwa namna moja ama nyingini kufanikisha msiba ya mama yake Mzazi Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao.

Waombolezaji wakiendelea kufuatili kinachijiri kulingana na ratiba

Mc Muongozaji Mlangila Optaty Henry akiwajibika vyema.
Umati wa waombolezi Mazishi ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao
Organizer Al haji Salum Mawingo na Mzee Yakubu ni miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria mazishi ya
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao 

Muda mchache kabla ya kuelekea kumpumzisha mpendwa wetu Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao
Msafara wa Wajukuu wa Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao wakielekea eneo la makaburi
Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu
Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao kuelekea eneo la makaburi kwa ajili ya maziko

Msafara wa Wajukuu wa Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao wakielekea eneo la makaburi..

Msafara wa Mapadre kuelekea eneo la makaburi

Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho ya Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao..

Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda;Nenda Salama Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao
Chifman na Mlangila Focas Lutinwa pichani
Muendelezo wa matukio ya picha

Msalaba ukisimikwa kwenye kaburi..

Maaskofu wakiweka shada la maua..

Mapadre wakiweka shada la maua..
Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea...
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea 
Familia ya Chichi Nyamwihula wakiweka shada la maua
Watoto wa Omwamikazi Ma Annalbina Lambert Lweimbao wakiweka shada la maua..

Familia ya Mtafungwa wakiweka shada la maua..

Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea..
Mbungge wa Nkenge Mh. Kyombo akiweka shada la maua.
Mh.Diwani Migeyo akiweka shada la maua
Mwisho ni picha mbali mbali kwa ajili ya kumbukumbu
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043.
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043.


 


 

Next Post Previous Post
Bukobawadau